PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tanzania haihitaji Twitter ya kudukuliwa, zipo platforms nyingi tu. Halafu binafsi I know vijana wa it noma sana toka UDSM, hao waliohack msije kuwaonea huruma maana lazima watadakwa na kufinywa.
 
mbona humu panatosha, wangeifungia jamii forum ningeteseka,,

lakini sijui tweeter, instagram na upupu wowote ule, wafungie tu,, mda wote ukiingia huko unakumbuna na picha za ovyo tu.
utakuwa ccm wewe ndio wenye vichwa vya kufikiri kama hivyo
 
Tanzania haihitaji Twitter ya kudukuliwa, zipo platforms nyingi tu. Halafu binafsi I know vijana wa it noma sana toka UDSM, hao waliohack msije kuwaonea huruma maana lazima watadakwa na kufinywa.
UDSM Kuna ma IT au wapiga window?
 
UDSM Kuna ma IT au wapiga window?
I know three UDSM it graduates. mmoja ni noma sana, huwa anaenda hadi huko Ke kufunga mitambo. Wawili wako kwa system.
Ni suala la muda tu tutasikia mayowe huko Kenya kwa wale waliohack bongo accounts, hadi mda huu bongo washawajua hackers japo watapotezea kwanza watu wasahau kisha wawafinye silently. Bongo inajua kuadhibu wajinga wanaojifanya ujuaji
 
Leo siku ya tato. hakuna X..(tweeter)! Why all this lakini?

Tatizo la kuwa la vilaza kwenye uongozi. watoto wa Kenya wanasimamisha page ya nchi nzima!! tumeajiri wajinga jinga sana wakula rojo
 
Wanazidi kujipaka mavi tu, hawajui hilo litafanya Elon ajue na kutaka kujua kinachojili tanzania mpaka wangue huu mtandao
 
Leo siku ya tato. hakuna X..(tweeter)! Why all this lakini?
IMG_4861.jpeg
 
I know three UDSM it graduates. mmoja ni noma sana, huwa anaenda hadi huko Ke kufunga mitambo. Wawili wako kwa system.
Ni suala la muda tu tutasikia mayowe huko Kenya kwa wale waliohack bongo accounts, hadi mda huu bongo washawajua hackers japo watapotezea kwanza watu wasahau kisha wawafinye silently. Bongo inajua kuadhibu wajinga wanaojifanya ujuaji
Hii ni zile theory empty za kusadikika. Njoo na better story than this kaka
Eti wameshawajua? Even us wanaoigwa matukio inawachukua hata mwaka, despite kuwa wako mbali kwa technology
 
Walianzia Club House, mi nshazoea simu ina vpn 24/7
 
Back
Top Bottom