PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
nadhani ni upotoshaji,
binafsi natumia mtandao huo bila shida yoyote. Hata hivyo nafuatilia ili kujiridhisha.

Uelewa mdogo wa matumizi ya vifaa mnavyotumia imekua hasa ndio changamoto kuu kwa watumiaji mitandao 🐒
Kuna mtu mwenye akili timamu aliwahi kumuelewa huyu jamaaa?
Hiwa nakuona kama umerogwa kijana
 
imani potofu za ushirikina na ramli ndio umaskini wenu gentleman.
huo ni utumwa wa kilofa zaidi mnang'ang'ana nao.

umekimbia shule unataka kuja kuelewa JF? that's nonsense 🐒
 
1000690279.jpg
 
Kubali tu akili huna mnatumia sijui kiungo gani kufikiria
 
nadhani ni upotoshaji,
binafsi natumia mtandao huo bila shida yoyote. Hata hivyo nafuatilia ili kujiridhisha.

Uelewa mdogo wa matumizi ya vifaa mnavyotumia imekua hasa ndio changamoto kuu kwa watumiaji mitandao 🐒

Utakuwa unatumia ya mama wewe, si bure!
 
Hivi katika mtandao wa X zamani ikiitwa Twitter kumetokea nini? Maana tangu jana jioni majira ya saa 11 mtandao haufanyi kazi kabisa!!🤔
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom