Unatumia VPN ipi ili na Mimi nipakueWasha VPN mkuu, speed ya radi.
Hapana boss nipo ndani ila si mbali na mpakani km kama 60/70 hivi labda ndo sababu, ngoja ntatest nikianza safari maana mda si mrefu.
Wakenya wamevamia mama yenu kishenzi, ameshangaaa! Kasema hivi.,Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo!
Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
CCM inafuata malezi ya chama cha kikomunisti cha china, chini ya xijing ping, so sishtuki twitter kupigwa pini.
jamaa m'moja hivi anaitwa rajabu. We andika mshauri wa raisi utamuona.Watu wameshawachoka. Sasa hizo documents zitasambazwa facebook na kwenye mitandao mingine yenye watu wengi zaidi .
Halafu zile documents zingekuwa fake, wangeshakanusha. Wameumbuliwa vibaya sana.
All in all, huu uamuzi unazidi kuwafanya watu wengi zaidi waichukie serikali.
Mshauri wa hii serikali sijui ni mtu gani huyo!!!
Cyber ATTACk kuna mtu kanya kituo cha polisi na mpaka sasa polisi hawajui aliekunya ni nani wanachukua fingerprints za kinyesi wakipeleke kwa mkemia wakague anaweza kua ni nani?Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
Daaah! Ila wewe jamaa 😅Cyber ATTACk kuna mtu kanya kituo cha polisi na mpaka sasa polisi hawajui aliekunya ni nani wanachukua fingerprints za kinyesi wakipeleke kwa mkemia wakague anaweza kua ni nani?
hivi hii mada ililetwa jana imefutwa?
View: https://x.com/mangekimambi/status/1924558551080722892
View attachment 3340376
Ndio haya mavi yenyewe na leo tena wamekunya tena polisi wamebung'aa tu maana hawajui wanamkamata nani Xi Jinping
Leta ile picha ya kwanza kabisa waliyopost porno
Ni documents Gani hizo Mkuu? zishanipita jamaniWatu wameshawachoka. Sasa hizo documents zitasambazwa facebook na kwenye mitandao mingine yenye watu wengi zaidi .
Halafu zile documents zingekuwa fake, wangeshakanusha. Wameumbuliwa vibaya sana.
All in all, huu uamuzi unazidi kuwafanya watu wengi zaidi waichukie serikali.
Mshauri wa hii serikali sijui ni mtu gani huyo!!!
Zipo hapo juu scroll kidogo zoom usome vizuriNi documents Gani hizo Mkuu? zishanipita jamani
Mama kupitia katibu wake, wanatuhumiwa kulamba bilioni 15 kupitia uunuzi wa zana za wajeda.Ni documents Gani hizo Mkuu? zishanipita jamani
Mbona balaaa,kumbe ndo mana hawataki chadema tushike nchi sioMama kupitia katibu wake, wanatuhumiwa kulamba bilioni 15 kupitia uunuzi wa zana za wajeda.
Acha uzushi. Wafuasi wa Braza K Mapovu mnachoweza ni uzushi tu. X ipo sawa kabisa.Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo!
Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?