Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Noma sanaMama kupitia katibu wake, wanatuhumiwa kulamba bilioni 15 kupitia uunuzi wa zana za wajeda.
Noma sanaMama kupitia katibu wake, wanatuhumiwa kulamba bilioni 15 kupitia uunuzi wa zana za wajeda.
Acha ubishi labda wameiachia ila kuna muda waliipiga PinAch
Acha uzushi. Wafuasi wa Braza K Mapovu mnachoweza ni uzushi tu. X ipo sawa kabisa.
Tuma links bas ya hiyo VPNView attachment 3340154
Hii naona haina mambo mengi kwa android
Uongo unakusaidia nini?Ach
Acha uzushi. Wafuasi wa Braza K Mapovu mnachoweza ni uzushi tu. X ipo sawa kabisa.
Easy ipo PlaystoreTuma links bas ya hiyo VPN
Wewe ndio muongo na mzandiki. X inapatikana kama kawaida.Uongo unakusaidia nini?
Fb mtelezo tuNdio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo!
Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
Fb haina madharaFb mtelezo tu
Kila nikifungua holla!!
Dah huu ni upuuzi, sasa nianze kupambana tena na mavpn!TCRA watakuwa wamekisikia kilio cha mama na wanabubujikwa machozi.
njonjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, imhotep na wale wengine.
umezimwa...haupatikaniKila nikifungua holla!!