CCM inafuata malezi ya chama cha kikomunisti cha china, chini ya xijing ping, so sishtuki twitter kupigwa pini.Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo!
Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
Imegoma kuanzoa mida hii, ila tangu asubuhi ilikuwa haina shida.Ila Watanzania ni watu wa ajabu Ukisoma majibu ya watu unagundua hata kujatibu tu kuifungua x hakuna ila wamejibu kukosoa.
Any way sina vpn na inafanya kazi kutwa nzima yanleo
Mi naitumia muda huuuImegoma kuanzoa mida hii, ila tangu asubuhi ilikuwa haina shida.
Kabisa hili ni swala la muda tu kuanzia sasa...Sema wakizima na mtandao watakuwa hawajatutendea haki.
By the way kuishi Tanzania ni laana
📌🔨Ni mwendo wa No Reforms, No Election.
Tumia VPNTweter haifanyi kazi , kwenu vipi?
wameshafanya yao........