secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Dah sasa wanaifungaje kinyemela hivi?Ulipo msema mwiguru tu wamewarudisha tena
Mama “Who are you” keshafanya yake, tumia tu VPN kipenzi.Wakuu,
Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia.
Shetani gani tena huyu?
Binti wa zamani
Thanks mkuu.Yap nimeona pia hata mimi
Ujanja tumia operamin kiboko ya Samia muuwaji
Umetuponza ndugu yetu.Dah sasa wanaifungaje kinyemela hivi?
Sasa ule muda wao wa kuzima internet umewadia.
Acha chai mkuu weka tamko rasmiItafunguliwa tena Feb 2026
Kipenzi hawa jamaa wanakera sana.Mama “Who are you” keshafanya yake, tumia tu VPN kipenzi!
mda wowote kuanzia sasa popoma msigwa atatoa taarifa kwa ummaAcha chai mkuu weka tamko rasmi
Hahaha, akili ya mtu feki nayo inakuwa feki mkuu.Umetuponza ndugu yetu.
Yule akili zake anawaza mpesa inaweza kuingiza bilioni 5 kwenye simu si ingepasuka simu.
Waumini wa tawala hizi ,umeonaHata Mimi mpaka nimeshangaa