Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena?

Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena?

Nimetoka shambani nikafungua simu ili niweze kuungana na Watanzania wenzangu kujua taifa letu linaendeleaje kisiasa.

Bila Vpn siipati Jamii forum.
Jua kali sana huku Igunga ngoja nikapate Balimi za baridi mbili kwa hasira nilizo nazo
 
Nimetoka shambani nikafungua simu ili niweze kuungana na Watanzania wenzangu kujua taifa letu linaendeleaje kisiasa.

Bila Vpn siipati Jamii forum.
Jua kali sana huku Igunga ngoja nikape Balimi za baridi mbili kwa hasira nilizo nazo
Igunga sehemu gani nije tupate balimi?
 
Nimetoka shambani nikafungua simu ili niweze kuungana na Watanzania wenzangu kujua taifa letu linaendeleaje kisiasa.

Bila Vpn siipati Jamii forum.
Jua kali sana huku Igunga ngoja nikapate Balimi za baridi mbili kwa hasira nilizo nazo
Igunga pazuri sn toto'z za kinyiramba na kinyaturu bila kusahau Makambare na Makamongo ya kutoka Bwawa la Wembele hadi raha .. nenda Mwanzugi,Roya,Miswaki,Mpyagula,Magulyati,Iyumbu,Nyambi,Mgungila,Magungumuka,Kabugeli,Buyungu mpaka Malendi.. maeneo hayo ni starehe kwenda mbele wakati wa Kiangazi..
 
Nimetoka shambani nikafungua simu ili niweze kuungana na Watanzania wenzangu kujua taifa letu linaendeleaje kisiasa.

Bila Vpn siipati Jamii forum.
Jua kali sana huku Igunga ngoja nikapate Balimi za baridi mbili kwa hasira nilizo nazo
Sio ww tu, bali waumini wote wa dhalimu mnakutana na hiyo hali.
 
Sasa umepost vipi.?

We ni sawa na Mwiguru alionekana akitumia VPN wakati JF imefungwa.

You're very slow, lazima uliangukia kichwa ukiwa mchanga.
 
Kufungiwa siku 90 ilikuwa geresha tu, hakuna mtandao utakaoruhusu uhuru wa kutoa maoni Tanzania then ubaki salama pasipo kufungiwa!

Huwezi kumwachia mtu uliemshika ugoni na mkeo hivihivi!, ni sawa na kuhalalisha waendelee kwa kificho/tahadhari...Dawa huwa ni....

Hivyo kwao kuifungulia jf ni sawa na kuruhusu hilo nililotaja hapo juu!
 
Back
Top Bottom