Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Nilijua tu kwa walichokifanya MO29 lazima wataendelea kuifungia maana JF ina leta pressure kwa watawala mpaka matumbo yao ya kuharisha yanaunguruma kwa nguvu!Kwani si tumeshamalizana nao wanatutakia nini tena aiseee hawa mbogamboga.