Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Nilijua tu kwa walichokifanya MO29 lazima wataendelea kuifungia maana JF ina leta pressure kwa watawala mpaka matumbo yao ya kuharisha yanaunguruma kwa nguvu!Kwani si tumeshamalizana nao wanatutakia nini tena aiseee hawa mbogamboga.
Maimae acha yaendelee kuunguluma hadi wahalishe mavi yote matumbo yabaki meupe peee!Nilijua tu kwa walichokifanya MO29 lazima wataendelea kuifungia maana JF ina leta pressure kwa watawala mpaka matumbo yao ya kuharisha yanaunguruma kwa nguvu!
D6Wakuu,
Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia.
Shetani gani tena huyu?
Binti wa zamani
Ni D9
SawaUkiwa dictator unapaswa uwe smart, sio kichwa cha panzi
Hata mimi nilijaribu lakini inagomaWakuu,
Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia.
Shetani gani tena huyu?
Binti wa zamani
Msalimie PhalaborwaMimi huko sirudi
Jana asubihi nilikuwa Ubelgiji, mchana nikaenda London, Leo nimeamkia Uswisi
Mimi hapa Kampala Uganda napeta nayo vizuri tu na wala hainisumbui.Mliopo Tanzania, poleni sana.. Sisi wazee wa Burundi tunapeta tu.