Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

Dola la kigaidi la kizayuni punde lina sambaratika
Waajemi na wapenda amani wengine wamelikalia kooni
Zandani kabisa Americant anajadili kuondoka iraq na Syria punde napo anakimbizwa
Anguko la Americant linazidi kujongea jongea yaaani
Ni hatari sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dola la kigaidi la kizayuni punde lina sambaratika
Waajemi na wapenda amani wengine wamelikalia kooni
Zandani kabisa Americant anajadili kuondoka iraq na Syria punde napo anakimbizwa
Anguko la Americant linazidi kujongea jongea yaaani
Hali ni mbaya kwa mbabe huyo wa mchongo duniani.
 
Americant atakimbizwa mashariki ya kati ni suala la muda tu yaaani
Na kweli huko kwa sasa sio salama kwake. Hata wale wanafiki wake aliowaweka baada ya kumtoa Sadam madaraki, wamemchoka na wanaomba aondoke hata leo.
 
Na kweli huko kwa sasa sio salama kwake. Hata wale wanafiki wake aliowaweka baada ya kumtoa Sadam madaraki, wamemchoka na wanaomba aondoke hata leo.
Na ataondoka ni suala la muda tu kwakweli
Iran kazi changa vyema sana Karata zake pale mido ist
 
Na ataondoka ni suala la muda tu kwakweli
Iran kazi changa vyema sana Karata zake pale mido ist
Iran sio nchi iliyoundwa miaka 70 iliyopita kama Israel au sio nchi iliyoundwa miaka 200 iliyopita kama Marekani.

Ni nchi kongwe yenye uwezo wa kijeshi toka miaka zaidi ya 3000 iliyopita. So sio rahisi hizi nchi za juzi kuitishia nyau hata siku moja.
 
Kabisa iran ni empire ukiiongelea iliundwa miaka elfu kadhaa nyuma
Kwahio watoto kama Americant na israhell wanatakiwa wawe na adabu na heshma juu
 
Kabisa iran ni empire ukiiongelea iliundwa miaka elfu kadhaa nyuma
Kwahio watoto kama Americant na israhell wanatakiwa wawe na adabu na heshma juu
Naam... Wala hujakosea πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜‚
 
Miaka elfu iliyopita wewe umejuaje kama West bank ni eneo la Israel????
Kwani kuna kiumbe anaishi miaka maelfu?

Watu wanayaelewa mambo kwa njia ya elimu ya historia.

Kwani wafalme Daudi na Selemani wa kwenye Biblia waliishi mji gani?

Na Jerusalemu kwa sasa ipo nchi gani?
 
Kwani kuna kiumbe anaishi miaka maelfu?

Watu wabaelewa mambo kwa njia ya elimu ya historia.

Kwani wafalme Daudi na Selemani wa kwenye Biblia waliishi mji gani?

Na Jerusalemu kwa sasa ipo nchi gani?
Netanyau na genge lake ni wazungu kutoka UK. waliletwa mashariki ya kati na UK wakishirikiana na Marekani kwa ajili ya mipango maalum.

Hebu muangalie Netanyau anajifanya myahudi, na Macron mzungu uniambie totauti zao ziko wapi?
 
Kwani kuna kiumbe anaishi miaka maelfu?

Watu wanayaelewa mambo kwa njia ya elimu ya historia.

Kwani wafalme Daudi na Selemani wa kwenye Biblia waliishi mji gani?

Na Jerusalemu kwa sasa ipo nchi gani?

Hao Daudi na Selemani kwani uliwasoma kitabu kipi ?Dini yao ilikuwa ipi ?
 
Nisichokipinga kuhusu Iran ni kwamba wanajikubali vibaya wao ni matajiri wa Historian, fizikia, kemia, biolojia, teknolojia za kivita, na kiraia na hawaringi.
Natamani wabongo na nchi yetu hii tungebadilika na kua na maendeleo yafananayo japo na Iran ya uhuru wake 1979
 
Wewe sasa umeandika nini? Hujui misri ya,leo,wapalestina, waajemi, waisrael wote wazungu waarabu ni utamaduni tu.ila wote wazungu (European race,/ Caucasian)
 
Wabongo kubadilika itakuwa ngumu maana utakuta mtu wa bonyokwa jeusi tii zaidi ya masizi eti linataka liitwe au lionekane kuwa na yeye ni liyahudi la Israel.

Lingine jeusi tii linataka lionekane lina undugu na waarab wa Saudi Arabia nk.

Kujikubali sio sifa ya mbongo au mwaafrika.
 
Wewe sasa umeandika nini? Hujui misri ya,leo,wapalestina, waajemi, waisrael wote wazungu waarabu ni utamaduni tu.ila wote wazungu (European race,/ Caucasian)
Ebu soma vizuri ulichoandika kama utakielewa mkuu!
 
Israel ilipoirudisha Sinai Iran ilihusikaje???
Au Israel iliporudisha mashamba ya lebanon Iran ilihusikaje!!

Usichojua miaka 1967 Iran ilikua ni pro israel na pro western.
Usiongee usichokijua.
Iran imeanza kuwa adui wa israel baada ya mapinduzi yaliyoileta serikali ya kiislam madarakani .
 
Unaweza ukawa na hoja sawa,lakini unapoanza kuwadhihaki waislamu tu basi tunakuhesabu ni mtu wa kupuuzwa na MKRISTO mfia dini kama wenyewe mnavosema πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…