Bila ya aibu mashabiki wa Afcon watatumia barabara ya Katesh Manyara to Singida huku Makonda akiendesha magarinya kifahari?

Bila ya aibu mashabiki wa Afcon watatumia barabara ya Katesh Manyara to Singida huku Makonda akiendesha magarinya kifahari?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Makonda anaendesha magari mpaka ya bil 1.7 huku akijinasibu kupambania michezo na timu ya taifa ambayo jezi zake zina kiwango hafifu kama za friends corner ya Manzese.

Anapambana kiwanja cha Arusha kikamilike kwa wakati.

Vipi kuhush miundo mbinu? Babati kupitia Katesh mpaka roundabaout ya Singida na Dodoma.? Mashabiki toka ulaya watavunjwa viuono na kjpata mafua sababu ya vumbi na makorongo.
 
Back
Top Bottom