Uchaguzi 2020 Bilionea Daniel Shilla wa CHADEMA atakiwa kuripoti polisi Ifakara baada ya kuandamana bila kibali

Huyu ameanza kampeni kabla ya muda, hivyo atawekewa pingamizi na kutupwa kabla ya muda, sijui kwa nini hawa wapinzani hawasomi kanuni na sheria za uchaguzi.
 
Baba yake ni RPC.. ngoja tuone
 
Huyu ameanza kampeni kabla ya muda, hivyo atawekewa pingamizi na kutupwa kabla ya muda, sijui kwa nini hawa wapinzani hawasomi kanuni na sheria za uchaguzi.
Kutafuta wadhamini ni kampeni?
 
Bilionea wa CHADEMA?Maana yake ni nini,ungeweza kuandika vizuri tu,hakuna bilionea wa CHADEMA,CCM,ACT,TADEA,TLP wala cuf.Tutumie jukwaa vizuri,kizazi kisichokuwa na chuki wala uchonganishi ni faida kwa Taifa.
 
Hutaki,kameze wembe ndugu,ama kasage chupa umeze!!!
 
Jamani jamani shilla must be free
.[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana

mbwembwe zote zile za nini kuchukua fomu tu, na maandamano hayaruhusiwi
mbona wengine wamechukua kwa utaratibu
 
Reactions: mmh
Hii ya kuitwa pilisi ndio itampandisha chati na kumpa umaarufu zaidi kwani badala ya kujulikana na wana kilombero tu atajulikana nchi nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…