Uchaguzi 2020 Bilionea Daniel Shilla wa CHADEMA atakiwa kuripoti polisi Ifakara baada ya kuandamana bila kibali

Kwel ujinga na ushamba ni mzigo mzto
.[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana

mbwembwe zote zile za nini kuchukua fomu tu, na maandamano hayaruhusiwi
mbona wengine wamechukua kwa utaratibu
 
Natafuta coment hapa ya DINI NA SIASA havichangamani.
 
Huyu ameanza kampeni kabla ya muda, hivyo atawekewa pingamizi na kutupwa kabla ya muda, sijui kwa nini hawa wapinzani hawasomi kanuni na sheria za uchaguzi.
Mbona juzi tumetoka kanisani kwende ibada ya ndoa na kuelekea ukumbini kwa msafara wa magari na matarumbeta. Mbona hajaitwa mtu kuwa kaandamana?
Huyo kasindikizwa woga wa nini?
 
Uzi unaelezea POLISI kumhitaji Shila, sasa CCM inaingiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…