viongozi wetu CCM wanavyoiogopa Chadema hadi mimi kichefuchefu!Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.
Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo.
Maendeleo hayana vyama!
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA
Masikini wengi wanawaza kama wewe bila kufikiria , Utavuna unachopandaccm is here to stay forever milele amina
pasukeni ila ndio ukweli huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni kweli mbona hata hiyo nafasi ya babayake itakuwa mashakani, compromising will be solnBaba yake ni RPC.. ngoja tuone
Aache fujo.Akagombee kwao SingidaBilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.
Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo.
Maendeleo hayana vyama!
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA
... is not a criminal.Nabii shilla is not a crime
wewe ni tajiri?Masikini wengi wanawaza kama wewe bila kufikiria , Utavuna unachopanda
huyo hapokama ni kweli mbona hata hiyo nafasi ya babayake itakuwa mashakani, compromising will be soln
Aiseee, kijana anaweza kupokea order awachane na siasa
Hii simama yake hapo kny pic inachefua.
Muwage na akili ata kidogo, JPM mwenye kisu mwenyewe kachukua fomu kimyakimya na ndinga yake akasepa, wewe ndo ulete mbwembwe?Hii ndio tanzania bana, bwana mdogo ameasha anza kuundiwa zengwe asubuhi mapema
.... is not a criminalNabii shilla is not a crime
Vijana wa ufipa hao, utasahihisha hadi kesho nakwambia.... is not a criminal
Lazima polisi wazue vituko. Roho zinawagonga.Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.