TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia


Na pia ndani wiki iliyopita alijinunulia jeneza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] We uliona wapi Tajiri akawa peke yake?
Hii breakfast ya mayai 5, viazi na hizo soseji kama alimaliza yote peke yake lazima alihitaji choo cha Dolce & Gabbana!!
Alikuwa na chawa wake a.k.a Vyawa Hawa hapa
 
Duuuuh
 
Ex wife nasikia alimdanganya ana mtoto wake kuja kupima DNA ikajulikana mtoto si wake wakaachana, Naona aligawa kizazi , with all money sio kazi kwake kupata mtoto
Mara nyingi ila sio kwa wote(baadhi) ,watu wenye issue za kishirikina wanafanya maagano ya kutokuwa na mtoto!!
 
Yaa jamaa alikuwa na vyente si mchezo....
ana gari nyingi za kifahari kuliko pea zangu za viatu ukichanganya na ndala za zamani na mpya haha haaa

Marehem kafanana na Fred vunja bei ... sasa watu wakisema domo ana hela na akina ginimbi wana nini , mtu aimbi hana biashara za kielewek ila he is filthy rich
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…