Mali hizi hazirithiwi kiboya, anayerithi nae aakwenda na maji ndani ya kipindi kifupi. Angalia trend ya watu waliokufa vifa vya ajabu ndani ya familia yakeView attachment 1622145
Dah atayerith hiz mali atafaidi
He was born 1984Dha alikuwa bado young RIP
Daaah!So sad huyu mchizi nilikuwa nachati naye insta.Kuna mchongo alitaka aniunganishe nao imeniuma kinoma yaaan.
Labda waligonga mti,betri ikatoa cheche. Wengine wanasema gari ina tobo la risasi.
Hapo South tayari jamaa kawazulumu wamefanya yao.hawacheleweshi kule ni fasta tu.
Inasemekana hakuwa amefunga mkanda. Ikawa rahisi kumtoa. Alitolewa hai amefia nje ya gari[emoji22]Aliungua duuh[emoji26]
Acha tuu.. Hawana huruma hata na Marehemu.Watu wabaya asee[emoji848][emoji848]
Gari imepgwa risasiLabda waligonga mti,betri ikatoa cheche. Wengine wanasema gari ina tobo la risasi
Wataalamu wa gari watatueleza zaidi
How do you prove that!!?He sold his soul to the devil in exchange of money and power
Kuna waliopona ktk hiyo ajali!? Walikuwemo wangapi??Kapata ajali na Rolls Roys kagongana na gari 3 gari ikawaka moto....yaeekea alikua kasi sana na pengine pombe ilichangia.....R.I.P Don
Mkuu ulikuwa nao!? Umejuaje hayo!?Walikuwa mtu nne ndani ya hilo gari. Yeye na rafiki yake Mmalawi wakiwa na mademu baada ya kukesha wakinywa pombe. Alikuwa akiendesha kwa kasi. R.I.P
Kumbe yanawakaga moto, basi ngoja niahirishe kulinunuaDah hiyo Rolls Royce haitamaniki
Utasikia alikuwa bwabwa na Zari ndio alikuwa anamkuwadia mabashaNi matumaini yangu atakuwa ameacha mke & watoto
chukua tu mzigo kama unaupendaKumbe yanawakaga moto, basi ngoja niahirishe kulinunua
Cancer ni kifo cha ajabu?Mali hizi hazirithiwi kiboya, anayerithi nae aakwenda na maji ndani ya kipindi kifupi. Angalia trend ya watu waliokufa vifa vya ajabu ndani ya familia yake