TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

Watu wanajua mpaka sugamamy wake ni nani, mkewe ni nani, wanae ni akina nani, wanae wa kufikia ni akina nani, n.k.

Si ajabu wanajua hata saizi ya viatu alivyokuwa anavaa..
Kuna watu umbea ni ajira kwao
 

Anyway, ushauri wa bure kwa vijana , don't drink and drive

Mara nyingi haswa weekends, mlinzi mmoja maeneo hayo hua na kawaida kuondoka lindoni saa 11 alfajiri, na mida hio hua ndio jamaa hua anapita barabara hio akiwa Siku zote na speed Kali ..

Siku hio ya tukio kama kawaida kapita na spidi Kali na rolls Royce lake hilo akasikia mshindo, kwenda akamuona jamaa ana struggle kutoka, na kujaribu kuwafungulia wenzie kumbe milango ishakua jammed haifunguki. ..kuwakimbilia ili awasaidie pengine kuvunja vioo au vyovyote ndio mlipuko ikawa ndio basi
 
this time wakaamua wambebe na ye mwenyewe, pesa hizi!
 
Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.
 
Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.
Zodwa si yule dada anaechezaga na kamguu kamoja huku kaachia kichupi chake na ana msambwanda hivi, code ndiyo hizo au nimekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…