TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

ni kweli kabisa,ndio maana Stalin alisema akiwa amelala akaamshwa basi atamuua huyo mtu atakayemuamsha,siku ya kifo chake kufika alianguka usiku,akashinda siku nzima amepooza anatoa mapovu hakuna mtu alienda kumuamsha mpaka akafa
Hiyo siri ni siri kubwa sana Mungu hakutaka kabisa wanadamu tuijue
 
Nime pitia page yake insta naona jamaa alkua kama mshamba flani hivi wa pesa teh teh teh
Wivu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah Ginimbi kanyoosha hii habari imenipitaje? Kitu amechokilia hapo kwa nyuma ni Lamborghini aventador tena right hand drive ambayo ni limited Bei yake ni 500K-800k US $
 
Jaman hata hakuwa amelewa hivyo nimeona video akiwa ndio anaingia kwa gari aondoke akiwa mzima kabisa hata hajalewa
Kulewa kidogo au kiasi au sana, vyote ulevi tu, pia kuendesha gari kwa spidi sio sawa.
 
Kuna watu huwa wanajua sana kuhukumu wenzao.

Yaani badala ya kupambana na maisha wanapambana na status za watu
Halafu unakuta wanaishi maisha ya kuungaunga,pesa ya kishirikina huwezi kuishi maisha ya kula bata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…