blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Punguza wenge...Sasa habari zote si zipo google? Wabongo Tunakuwa wajinga sana ndo maana na Kiongozi mliyechagua pia hakuna kitu kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza wenge...Sasa habari zote si zipo google? Wabongo Tunakuwa wajinga sana ndo maana na Kiongozi mliyechagua pia hakuna kitu kichwani
Jaman unakuwa na pesa kwanin usiendeshweena dereva ati
God's plan, hakuna mtu anaejua siri ya kifo chake
Hiyo siri ni siri kubwa sana Mungu hakutaka kabisa wanadamu tuijueni kweli kabisa,ndio maana Stalin alisema akiwa amelala akaamshwa basi atamuua huyo mtu atakayemuamsha,siku ya kifo chake kufika alianguka usiku,akashinda siku nzima amepooza anatoa mapovu hakuna mtu alienda kumuamsha mpaka akafa
Wivu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nime pitia page yake insta naona jamaa alkua kama mshamba flani hivi wa pesa teh teh teh
Duh Wivu hadi kwa marehemu...matumizi mabaya ya wivuWivu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16]You are a devil [emoji49]Duh Wivu hadi kwa marehemu...matumizi mabaya ya wivu
absolutely[emoji16]You are a devil [emoji49]
Kwa hiyo kayaacha hayo makochi ya thamani?Socialite kutoka pande za Zimbabwe, ambaye pia ni mfanyabiashara tajiri, Ginimbi, amepata ajali mbaya Siku ya leo na kufariki dunia hapo hapo.
Mfanyabiashara huyo pia alikuwa Karibu na Zari the bosslady, Ginimbi alipata ajali hiyo alipokuwa akielekea kwenye birthday party ya rafiki yake. View attachment 1622074
View attachment 1622075
View attachment 1622403
View attachment 1622402
Dingi yake jeskerWho is next????
Utamjuaje mkuu wakati kila siku unashinda kwenye banda lako la MpesaI’m so out of touch!
I had no idea who Ginimbi was 😄.
Dah Asante mkuu yani wee acha tuJamaa amekufa akiwa bado mdogo sana! Poleni wafiwa.
Kulewa kidogo au kiasi au sana, vyote ulevi tu, pia kuendesha gari kwa spidi sio sawa.Jaman hata hakuwa amelewa hivyo nimeona video akiwa ndio anaingia kwa gari aondoke akiwa mzima kabisa hata hajalewa
Halafu unakuta wanaishi maisha ya kuungaunga,pesa ya kishirikina huwezi kuishi maisha ya kula bata.Kuna watu huwa wanajua sana kuhukumu wenzao.
Yaani badala ya kupambana na maisha wanapambana na status za watu
Huyo lazima anatokea kuleekuna watu hawapendi kuendeshwa,kuna mzee fulani hapa Bongo ana pesa nyingi ila anajiendesha mwenyewe na kila siku anavaa nguo hizo hizo kuna siku kavaa suruali imechanika
Huyo lazima anatokea kulee
He paid his dues...Socialite kutoka pande za Zimbabwe, ambaye pia ni mfanyabiashara tajiri, Ginimbi, amepata ajali mbaya Siku ya leo na kufariki dunia hapo hapo.
Mfanyabiashara huyo pia alikuwa Karibu na Zari the bosslady, Ginimbi alipata ajali hiyo alipokuwa akielekea kwenye birthday party ya rafiki yake. View attachment 1622074
View attachment 1622075
View attachment 1622403
View attachment 1622402