Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Taarifa kamili hii hapa
Taita Ze Bilionea ,Desderias Hotel and Bureau De Change ,tunasubiri Desderia Apartement.
Sugu bepariAmother Chivayo, ndio maana wali kickoff na mama Samia.
Naambiwa wewe ndio Meneja wa Tulia Trust, hongera sanaAmother Chivayo, ndio maana wali kickoff na mama Samia.
Ameanza kuogopa😂😂
Utajiri wa halali aogope nini?Ameanza kuogopa😂😂
Huna akiliTajiri anaenda kukusanya buku buku za tone tone.
Amen.Heri yao wenye mabilioni
changamoto ni moja tu,
Hajataja zote anaogopa watu wa TRA watamsumbua kama ommy dimposHivi kumbe mwamba huwa ana mabilioni kweli!
Basi siku zote nadhani ni nickname tu