Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 1,201
- 2,705
Dah ulaji wa namna hiyo bora njaa iniue tuTaratibu jamani mnataka mwenzenu akale polisi?
Dah ulaji wa namna hiyo bora njaa iniue tuTaratibu jamani mnataka mwenzenu akale polisi?
Tajiri anaenda kukusanya buku buku za tone tone.
Huyu amekuaje bilionie kwenye nchi ambayo hamna haki,demokrasia,usawa,amani n\mmm.Muongo
changamoto ni moja tu,
kwamba bilionea anabebwa ufala wa kifikra na ombaomba tu wa kuchangiwa pesa, na kukubali kua mtumwa wa kutibua minywele kama wendawazimu.
inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise.
In fact,
nadhani haipendezi hata kidogo 🐒 🐒
Kinachokuliza nini?Ni kweli walimpa pesa , ila hata billion Mimi Hana , hapa tunazungumza Mali zake, na pesa taslimu hotel yake ndiyo project yake kubwa, na nyumba ya kuishi Hana vingine vya maana, huko 26 ametaja mbali sana
Umefunua fumbo lililonishinda kufungua kwa muda mrefu kuhusu huyo na jina lake jingine analotumia humu.Naambiwa wewe ndio Meneja wa Tulia Trust, hongera sana
Nigga hafikii hata 20% ya chivayoAmother Chivayo, ndio maana wali kickoff na mama Samia.
hayo yote hayalingani na kuwa mzoga kama ulivyo wewe.changamoto ni moja tu,
kwamba bilionea anabebwa ufala wa kifikra na ombaomba tu wa kuchangiwa pesa, na kukubali kua mtumwa wa kutibua minywele kama wendawazimu.
inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise.
In fact,
nadhani haipendezi hata kidogo 🐒 🐒
Nayafahamu majina yake yote ya humu na yale ya vitambulishoUmefunua fumbo lililonishinda kufungua kwa muda mrefu kuhusu huyo na jina lake jingine analotumia humu.
Ili kuwezesha kuwa na uelewa mmoja across borders, if someone is called a "billionaire", it strictly means that person possesses a net worth equivalent to at least 1,000,000,000 USD, regardless of where (s)he lives. Kwahiyo, kwa usahihi zaidi, Sugu ni millionaire, sio billionaire.
Endelea kutesekaIli kuwezesha kuwa na uelewa mmoja across borders, if someone is called a "billionaire", it strictly means that person possess a net worth equivalent to at least 1,000,000,000 USD, regardless of where (s)he lives. Kwahiyo, kwa usahihi zaidi, Sugu ni millionaire, sio billionaire.
Kuteseka na nini?Endelea kuteseka
Kwa hakika umenyoosha huyo sio BillionaireIli kuwezesha kuwa na uelewa mmoja across borders, if someone is called a "billionaire", it strictly means that person possess a net worth equivalent to at least 1,000,000,000 USD, regardless of where (s)he lives. Kwahiyo, kwa usahihi zaidi, Sugu ni millionaire, sio billionaire.
Kwani weye shida yako nini zile bilions au hiyo style ya nywele?changamoto ni moja tu,
kwamba bilionea anabebwa ufala wa kifikra na ombaomba tu wa kuchangiwa pesa, na kukubali kua mtumwa wa kutibua minywele kama wendawazimu.
inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise.
In fact,
nadhani haipendezi hata kidogo 🐒 🐒
Umasikini wa kutupwaKuteseka na nini?