Bilionea Joseph Mbilinyi aanika Utajiri wake ili kuondoa Mkanganyiko

Bilionea Joseph Mbilinyi aanika Utajiri wake ili kuondoa Mkanganyiko

Kwani weye shida yako nini zile bilions au hiyo style ya nywele?

Hata mtu akiwa na kichwa kama papai madhali ana bilions in the bank kihalali kabisa, then STFU.
shida yangu ni kwamba,
bilionea kubebwa ufala wa kifikra na ombaomba tu na kutamani kua mwendawazimu 🐒
 
changamoto ni moja tu,
kwamba bilionea anabebwa ufala wa kifikra na ombaomba tu wa kuchangiwa pesa, na kukubali kua mtumwa wa kutibua minywele kama wendawazimu.

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise.
In fact,
nadhani haipendezi hata kidogo 🐒 🐒
Mafala ni nyie mnaozeekea jf huku mkipigwa miti kwenye makorido ya Lumumba.
 
duniani kuna mambo aisee yaani utajiri wa sugu ni chupi moja la chivayo
Inashangaza kuona katika vitu vyote anavyoweza kumiliki mtu mawazo yako moja kwa moja yameenda kwenye chupi 🤔 kama wewe ni mwanaume nitashangaa zaidi
 
Huwezi kuwa bilionea kwa mradi wa hotel katika mji ambao ukienda na 5k sokoni unarudi na bidhaa hadi zinakushinda kubeba.
 
Back
Top Bottom