Bilionea Joseph Mbilinyi aanika Utajiri wake ili kuondoa Mkanganyiko

Bilionea Joseph Mbilinyi aanika Utajiri wake ili kuondoa Mkanganyiko

changamoto ni moja tu,
kwamba bilionea anabebwa ufala wa kifikra na ombaomba tu wa kuchangiwa pesa, na kukubali kua mtumwa wa kutibua minywele kama wendawazimu.

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise.
In fact,
nadhani haipendezi hata kidogo 🐒 🐒
Hivi wewe ng'ombe ni lazima u comment ushuzi wako katika kila uzi?

Sometimes pasipo na ulazima kutia comment funga bakuli lako, unajidhalilisha.

Nadhani hata maboss wako huwa wanabaki midomo wazi wanapokusoma!
 
changamoto ni moja tu,
kwamba bilionea anabebwa ufala wa kifikra na ombaomba tu wa kuchangiwa pesa, na kukubali kua mtumwa wa kutibua minywele kama wendawazimu.

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise.
In fact,
nadhani haipendezi hata kidogo 🐒 🐒
Hayo mengine hayakuhusu ni chuki binafsi.kwa hiyo marasta ni wajinga?akina lini denis na wengineo wote ni wajinga ila wewe tu ndo mwenye akili
 
Hayo mengine hayakuhusu ni chuki binafsi.kwa hiyo marasta ni wajinga?akina lini denis na wengineo wote ni wajinga ila wewe tu ndo mwenye akili
ok.
relax bas na uache porojo za kujifariji na mtu timamu kutamani uendawazimu 🐒
 
Hivi wewe ng'ombe ni lazima u comment ushuzi wako katika kila uzi?

Sometimes passport na ulazima kutia comment funga bakuli lako, unajidhalilisha.

Nadhani hata maboss wako huwa wanabaki midomo wazi wanapokusoma!
tuliza mihemko bas gentleman na itapendeza zaidi nyumbu 🐒
 
wow, 10 million usd? thats a lot of money kwa rapper wa kibongo, kuna marapa wengi tu USA ambao hata waliuza milions of records internationally na wangemuonea wivu kwa hela ndefu namna hiyo, ingawaje nafikiri pia ni thamani ya mali zake na siyo kwamba ni fedha taslimu 10 million usd kama sijakosea, hata hivyo kama ni kweli hongera zake ...
 
changamoto ni moja tu,
kwamba bilionea anabebwa ufala wa kifikra na ombaomba tu wa kuchangiwa pesa, na kukubali kua mtumwa wa kutibua minywele kama wendawazimu.

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise.
In fact,
nadhani haipendezi hata kidogo 🐒 🐒
Una kirusi cha Chivayo, waiba kura, na wauaji wa Okt 29.
Sasa ndio mnaiona Karma.
 
Ni kweli walimpa pesa , ila hata billion Mimi Hana , hapa tunazungumza Mali zake, na pesa taslimu hotel yake ndiyo project yake kubwa, na nyumba ya kuishi Hana vingine vya maana, huko 26 ametaja mbali sana
 
Back
Top Bottom