Bilionea Joseph Mbilinyi aanika Utajiri wake ili kuondoa Mkanganyiko

Tajiri anaenda kukusanya buku buku za tone tone.

..hata Donald Trump anachangiwa tone tone na mashabiki wake ambao ni watu wa kawaida.

..vyama vya siasa vinatakiwa kuendeshwa kwa nguvu ya umma, na sio kutokana na mapesa ya matajiri wachache.
 
Get rich or die trying

Mtu mwaka 1993 yupo boarder kwaajili ya kukimbizia fursa

Wakinga wana mentality za utafutaji long time
 

Imekuuma nini! Usiogope sana, kasemq hauzidi b6 na si kwamba anazo hizo 6b. Hata kama ana 60m bado yuko sawa maana 60m haizidi 6b. Kuwa na amani kachukue b7 zako
 
Ni kweli walimpa pesa , ila hata billion Mimi Hana , hapa tunazungumza Mali zake, na pesa taslimu hotel yake ndiyo project yake kubwa, na nyumba ya kuishi Hana vingine vya maana, huko 26 ametaja mbali sana
Kinachokuliza nini?
 
Alafu wapo bize kuwadanganya na kuwatumia wenzao kuwa Serikali ya CCM haifanyi kazi! Hii nchi kila mtu ana fursa ya kuwa tajiri hata kama ulitoka familia maskini.
 
hayo yote hayalingani na kuwa mzoga kama ulivyo wewe.
Katika hali hiyo uliyomo wewe utawaona wengine kuwa na hali mbovu kivipi?
 
Umefunua fumbo lililonishinda kufungua kwa muda mrefu kuhusu huyo na jina lake jingine analotumia humu.
Nayafahamu majina yake yote ya humu na yale ya vitambulisho

Muulize zile Njia nne za barabara ya Mbeya - Tunduma zimeishia wapi?
 
Endelea kuteseka
 
Kwa hakika umenyoosha huyo sio Billionaire
 
Kwani weye shida yako nini zile bilions au hiyo style ya nywele?

Hata mtu akiwa na kichwa kama papai madhali ana bilions in the bank kihalali kabisa, then STFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…