Bilionea Joseph Mbilinyi aanika Utajiri wake ili kuondoa Mkanganyiko

Kwani weye shida yako nini zile bilions au hiyo style ya nywele?

Hata mtu akiwa na kichwa kama papai madhali ana bilions in the bank kihalali kabisa, then STFU.
shida yangu ni kwamba,
bilionea kubebwa ufala wa kifikra na ombaomba tu na kutamani kua mwendawazimu πŸ’
 
Mafala ni nyie mnaozeekea jf huku mkipigwa miti kwenye makorido ya Lumumba.
 
duniani kuna mambo aisee yaani utajiri wa sugu ni chupi moja la chivayo
Inashangaza kuona katika vitu vyote anavyoweza kumiliki mtu mawazo yako moja kwa moja yameenda kwenye chupi πŸ€” kama wewe ni mwanaume nitashangaa zaidi
 
Huwezi kuwa bilionea kwa mradi wa hotel katika mji ambao ukienda na 5k sokoni unarudi na bidhaa hadi zinakushinda kubeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…