Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kwa Tanzania siyoHongera kwake
Pesa si ni halali lakini!
Mbona lakini umekimbilia kihoji uhalali wa Pesa zake, una mashaka nazo dada?Hongera kwake
Pesa si ni halali lakini!
Umeandika kibwege sanaTone tone naye zimemfikia?
Alikuaga Chawa wa Mbowe kwanza akagombea Ubunge baada ya kushindwa 300m pension payable in Lamp-sumMwekezaji wa Kimataifa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, amezindua Duka kubwa la kubadilisha fedha za kigeni linaloitwa DESDERIA BUREAU DE CHANGE LIMITED
Duka hilo la kisasa limefunguliwa Jijini Dar es Salaam katika Jengo la SKY CITY MALL
UJUMBE: ILI KUFANIKIWA SIYO LAZIMA UWE CHAWA
Wadanganye Wapumbavu wenzioAlikuaga Chawa wa Mbowe kwanza akagombea Ubunge baada ya kushindwa 300m pension payable in Lamp-sum
Umenielewa dearKwa Tanzania siyo
La hasha sina mashaka!Mbona lakini umekimbilia kihoji uhalali wa Pesa zake, una mashaka nazo dada?
Basi hayaJuzi katoka kuwanyooshea dole la kati 😁 nilijua tu yote haya lazim kuna sababu nyuma
Ma CHADEMA huwa hayajitambuiHuyu mnyakyusa ni mshamba au ni shoga? Hv we bwege unajua maana ya "KIMATAIFA?" Halafu unamshobokea mwanaume mwenzako kwa kitu kdg km hicho! Aibu naona mimi
Sugu ni Bilionea wa kimataifa, ni mtu wa masoko, logistics na kidogo mwanamuzikiHuyu mnyakyusa ni mshamba au ni shoga? Hv we bwege unajua maana ya "KIMATAIFA?" Halafu unamshobokea mwanaume mwenzako kwa kitu kdg km hicho! Aibu naona mimi