Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
CAGHizo ni pesa ambazo wanapita pembeni huko kuomba na kuzibana kimya kimya
CAGHizo ni pesa ambazo wanapita pembeni huko kuomba na kuzibana kimya kimya
Hapo kina Katuga wanaanza kumlia timing ya MLMwekezaji wa Kimataifa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, amezindua Duka kubwa la kubadilisha fedha za kigeni linaloitwa DESDERIA BUREAU DE CHANGE LIMITED
Duka hilo la kisasa limefunguliwa Jijini Dar es Salaam katika Jengo la SKY CITY MALL
UJUMBE: ILI KUFANIKIWA SIYO LAZIMA UWE CHAWA
View attachment 3645817View attachment 3645818
Sasa unalia nini?Wafuasi wa chadema ni maskini wa mali mpaka wa akili, ni washamba bureau de change ni kitu cha kutangaza na kushobokea? Kuna bureau de change ya kimataifa? Kule Arusha ni vijana wadogo tu wanamiliki hizo biashara na hawana shobo, nyie kwl ni mafukara!
Happy Mbilinyi.Mkewe yupi tena ?
Yule Faiza ama huyu Happy ?
Chawa , wote washamba hao
Pamoja na Tanga kujaa uchawi lakini hao kuwaloga huweziChawa , wote washamba hao
Na Arusha hukohuko ndio kuna wafuasi wengi wa Chadema hao unaowaita maskini wa mali mpaka akiliWafuasi wa chadema ni maskini wa mali mpaka wa akili, ni washamba bureau de change ni kitu cha kutangaza na kushobokea? Kuna bureau de change ya kimataifa? Kule Arusha ni vijana wadogo tu wanamiliki hizo biashara na hawana shobo, nyie kwl ni mafukara!
Tangia hapo hilo ni bwege mkuu!Umeandika kibwege sana
Anauza matako!Na lucas mwashambwa amefungua nini
Hatuwezi kuroga washamba hao ,mishamba ya bara ya nn tena ..Hao fani yao kukaa porini😅😅Pamoja na Tanga kujaa uchawi lakini hao kuwaloga huwezi
HakikaHongera zake, ni hatua nzuri katika kuongeza uwezo wa kiuchumi.
Hizo ni pesa ambazo wanapita pembeni huko kuomba na kuzibana kimya kimya
SwadaktaHivi nyie wajinga jinga mnafikiria mtu anaweza kuiba tonetone za tsh milioni 200 halafu afungue biashara ya maana😂
Sugu mpaka leo hata hamjui kwamba anafanya kazi na CIA. Huyu jamaa sio tu Tanzania anapesa zaidi ya $1M Marekani. Sasa wajinga jinga mnaongelea tonetone. Kama mnabisha kamtekeni Sugu muone kitatokea nini Tanzania. Ndiyo maana haguswi na mtu.
Tatizo la machawa ni kama misukule ya kikwete, Samia na Mwinyi jitambueni muache kujiliwaza na uongo