Bilionea Joseph Mbilinyi (Sugu) azindua Bureau De Change ya Kisasa Jijini Dar es Salaam

Mwekezaji wa Kimataifa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, amezindua Duka kubwa la kubadilisha fedha za kigeni linaloitwa DESDERIA BUREAU DE CHANGE LIMITED

Duka hilo la kisasa limefunguliwa Jijini Dar es Salaam katika Jengo la SKY CITY MALL

UJUMBE: ILI KUFANIKIWA SIYO LAZIMA UWE CHAWA
Labda pesa za Mponjoli Malakasuka, nasikia karudi nchini baada ya kumaliza kifungo USA
 
Mwekezaji wa Kimataifa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, amezindua Duka kubwa la kubadilisha fedha za kigeni linaloitwa DESDERIA BUREAU DE CHANGE LIMITED

Duka hilo la kisasa limefunguliwa Jijini Dar es Salaam katika Jengo la SKY CITY MALL

UJUMBE: ILI KUFANIKIWA SIYO LAZIMA UWE CHAWA
GT please tupiako basi kapicha.
 
Mwekezaji wa Kimataifa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, amezindua Duka kubwa la kubadilisha fedha za kigeni linaloitwa DESDERIA BUREAU DE CHANGE LIMITED

Duka hilo la kisasa limefunguliwa Jijini Dar es Salaam katika Jengo la SKY CITY MALL

UJUMBE: ILI KUFANIKIWA SIYO LAZIMA UWE CHAWA
Angefungua huko Mbeya akasaidia kile kijiji kikubwa cha Jiji la Mbeya
 
Back
Top Bottom