Bilionea Joseph Mbilinyi (Sugu) azindua Bureau De Change ya Kisasa Jijini Dar es Salaam

Bilionea Joseph Mbilinyi (Sugu) azindua Bureau De Change ya Kisasa Jijini Dar es Salaam

Chawa wa Chadomo , kusifia kila kitu ...Jiangalie kijna,maana hata wazazi wako unawasahau kisa uchawa.
 
Chawa wa Chadomo , kusifia kila kitu ...Jiangalie kijna,maana hata wazazi wako unawasahau kisa uchawa.
Screenshot_20260807-212012~3.png
 
Wafuasi wa chadema ni maskini wa mali mpaka wa akili, ni washamba bureau de change ni kitu cha kutangaza na kushobokea? Kuna bureau de change ya kimataifa? Kule Arusha ni vijana wadogo tu wanamiliki hizo biashara na hawana shobo, nyie kwl ni mafukara!
 
Safi sana,
Wenzie wako kule Mwanza mwanza wanafanya uzinduzi miaka 30 ya Bongo fleva.
Kwanini asipinge
 
Akubali tu kuwa ubunge ndio umemtoa kwenye umaskini.

Hizo show za kulipwa milioni 2 na made mpaka anazeeka hiyo bureau angaisikia kwa wengine tu.
Si kweli! Labda sugu wewe umemjua hivi juzi lakini kwa sisi tunaomfahamu tangu akiwa anaishi USA alisha kuwa na pesa ya kutosha tu kabla hata ya kuingia bungeni, ni familia iliyo kuwa inajiweza sana
 
Si kweli! Labda sugu wewe umemjua hivi juzi lakini kwa sisi tunaomfahamu tangu akiwa anaishi USA alisha kuwa na pesa ya kutosha tu kabla hata ya kuingia bungeni, ni familia iliyo kuwa inajiweza sana
Kadanganye wengine.

Hoteli kajenga baada ya kukosa Ubunge.
 
Back
Top Bottom