Bilionea Joseph Mbilinyi (Sugu) azindua Bureau De Change ya Kisasa Jijini Dar es Salaam

Inauma sana Mfungwa wa kisiasa anapofanikiwa
 
Mwekezaji wa Kimataifa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, amezindua Duka kubwa la kubadilisha fedha za kigeni linaloitwa DESDERIA BUREAU DE CHANGE LIMITED

Duka hilo la kisasa limefunguliwa Jijini Dar es Salaam katika Jengo la SKY CITY MALL

UJUMBE: ILI KUFANIKIWA SIYO LAZIMA UWE CHAWA

View attachment 3645817View attachment 3645818
Nani atenda kupata huduma hapo? Baada ya mwaka mmoja tuletee mlishonyuma kama patakuwa panaendelea kufanya kazi.
 
Maisha safari ndefu tusikate tenaa tupambane kila fursa.....Amen ....jamaa alianza kama mlinzi puma kurasini.....
 
I
Mwekezaji wa Kimataifa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, amezindua Duka kubwa la kubadilisha fedha za kigeni linaloitwa DESDERIA BUREAU DE CHANGE LIMITED

Duka hilo la kisasa limefunguliwa Jijini Dar es Salaam katika Jengo la SKY CITY MALL

UJUMBE: ILI KUFANIKIWA SIYO LAZIMA UWE CHAWA

View attachment 3645817View attachment 3645818

Nyie wanyakyusa lini mtaacha kushona vitenge? Hawuwezi kujua maana ya kimataifa mpaka muache kushona vitenge km mashahati na suti, eti mfanyabiashara wa kimataifa, hizo bureae de change amefungua nchi ngapi?
 
Back
Top Bottom