Bilionea Joseph Mbilinyi (Sugu) azindua Bureau De Change ya Kisasa Jijini Dar es Salaam

Hapo kina Katuga wanaanza kumlia timing ya ML
 
Sasa unalia nini?
 
Acha uongo Sugu pesa kapata kwenye ubunge na kazitumia vizuri sugu hajawahi kua na pesa kabla ya kua Mbunge
 
Na Arusha hukohuko ndio kuna wafuasi wengi wa Chadema hao unaowaita maskini wa mali mpaka akili
 
Hizo ni pesa ambazo wanapita pembeni huko kuomba na kuzibana kimya kimya

Hivi nyie wajinga jinga mnafikiria mtu anaweza kuiba tonetone za tsh milioni 200 halafu afungue biashara ya maana😂

Sugu mpaka leo hata hamjui kwamba anafanya kazi na CIA. Huyu jamaa sio tu Tanzania anapesa zaidi ya $1M Marekani. Sasa wajinga jinga mnaongelea tonetone. Kama mnabisha kamtekeni Sugu muone kitatokea nini Tanzania. Ndiyo maana haguswi na mtu.
Tatizo la machawa ni kama misukule ya kikwete, Samia na Mwinyi jitambueni muache kujiliwaza na uongo
 
Swadakta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…