Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

kukatika kwa umeme na CCM ni uji na mgonjwa Mr. Laiser, kuwatenganisha hawa wawili ni vigumu mno.
 
Mwambie Laizer anaishi Africa, ups and down Africa ni kawaida sana due to our primitive ambao hata yeye pia anao..

Biashara yake ya uchimbaji kwa aina ile ya uchimbaji wala hata hahitaji Standby generator la zaidi ya 100KVa...

Offcourse watu wote tunapaswa kupaza sauti juu ya hili la umeme lakini in business lazima uwe flexible kuendana na mazingira ya KiaAfrica hata ikiwezekana wewe kusaidia jamii inayokuzunguka with simple solutions...
Hata Mimi nashangaa,
Pesa zote alizopiga bado analialia!
 
Kama kweli ni billionaire basi atakuwa mshamba sana huyo
Utalalamikaje na umeme wakati kwa utajiri wako unaweza kuwasha mji mzima?

Huyo inaonekana hata lile Jiwe alipewa tu aseme ni lake

Duuu eti na huyu alifaulu kidato cha nne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahamishie shughuli za uchimbaji Sudan kama vipi. This is Tanzania bwana
 
Endelea kuamini hivyo, yawezekana ikawa ukweli but still haipingiki kuwa jamaa ni billionaire…. Tembea Arusha pengine utawaza tofauti na hizo hearsay.
Hana hata uhalali wa kuitwa bilionea maana aliandaliwa kama chambo na baada ya hiyo misheni akatupwa
 
Angekuwa na hizo bilioni angelalama kukosa umeme wakati generator kama zile anazouza Criss Lukosi zipo kibao??
Hivi huyo Chriss Lukosi ile michango ya rambirambi alirudisha?
 
Sometimes nikisomaga maandishi ya namna hiyi ukweli hua naisikitikia sana nchi yangu, kwamba huyu nae alikwenda shule akasoma kabisa na huenda alifauru! Unaweza kudhani nchi ni kama ina laana aise; imagine hawa ndio future ya nchi yetu wana mawazo ya kijinga namna hi yaani
Huyo ni product ya Jiwe aliingia jf makusudi kuharibu Threads zinazo ikosoa ccm au kumkosoa Jiwe.

Huyo ni made in Burigi kwahiyo ana hasira sana kwa mtu anayeonekana kupinga alichokiamini Jiwe.
 
Back
Top Bottom