Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

Baada ya kupata hizo pesa amegeuka kuwa ni muwakilishi wa wananchi.
Hata kama kwake ana ^jeni-leta^ ndiyo kusema eti asiwatetee wananchi wa hali ya chini--wanyonge? Ama kweli ubinafsi Afrika mwisho Bahari ya Mediteraniani!
 
Inasemekana ni bilionea wa mchongo aliye chongwa na mwendakuzimu ili kushawishi wafanyabiashara kukubali kuingia eneo la ukuta wa mirerani....
Unajua ulichoandika au?
Hiyo inaonyesha uchawa wa kijinga ambao unao,
Na nyie ndo wasafisha viatu na wabeba vipochi n vibegi vya wahuni.

Huyu laiza ni mchimba rubi wa longido sasa wewe unadhai usiposema magufuli hutapata chakula kwa uchawa wako.
 
Njoo uikalie basi uzidi kunenepa..punda ww
 
Inasemekana ni bilionea wa mchongo aliye chongwa na mwendakuzimu ili kushawishi wafanyabiashara kukubali kuingia eneo la ukuta wa mirerani....
Huyu ni Gabriel Laizer wa Ruby sio Saniniu Laizer wa Tanzanite. Usikurupuke elewa mada. Hawa ni watu wawili. Moja yupo na Tanzanite Mererani na Mwingine yupo na Ruby Longido.
 
Pumbaf wewe wacha kuwadanganya watu huyo Mmasaai hana cha ubilionea bali alitumika kama dekio tu .

Mimi niko hapa Arusha hana lolote zaidi ya kudanganywa na jiwe naye akaingia mkenge
Huyu mchizi aliwahi uza ujiwe za matan 1.5 bil kwa arusha ni mtoto mdogo hizo kina sunda ,mathew,malapa wanapiga sanaa kila mwezi ...huyu ni mpenda sifa mwezi jana kuna muhuni kapiga bil 2 kakataa mavyombo vyombo
 
Kwa hiyo huyo
Laizer siku hizi hapati Mahabali ya Tanzanite kisa mgao Wa umeme? Au kismati yake ilikuwa Jiwe?
 
Mwambie Laizer anaishi Africa, ups and down Africa ni kawaida sana due to our primitive ambao hata yeye pia anao..

Biashara yake ya uchimbaji kwa aina ile ya uchimbaji wala hata hahitaji Standby generator la zaidi ya 100KVa...

Offcourse watu wote tunapaswa kupaza sauti juu ya hili la umeme lakini in business lazima uwe flexible kuendana na mazingira ya KiaAfrica hata ikiwezekana wewe kusaidia jamii inayokuzunguka with simple solutions...
Primitive comment.
 
Back
Top Bottom