Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

Kama kweli ni billionaire basi atakuwa mshamba sana huyo
Utalalamikaje na umeme wakati kwa utajiri wako unaweza kuwasha mji mzima?

Huyo inaonekana hata lile Jiwe alipewa tu aseme ni lake
kweli mnakazi..huyu siyo billionea wa Tanzanite bali wa rubby,,mbona hamsoni nakuelewa?
 
Inasemekana ni bilionea wa mchongo aliye chongwa na mwendakuzimu ili kushawishi wafanyabiashara kukubali kuingia eneo la ukuta wa mirerani....
[emoji3064].wahuni wameanza Yao ,umefika home kwa laizer ,mijengo anayo miliki umeiona,!?,shule ya sec. aliyojenga umeiona !?. learn to learn to others.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom