Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

Huyu mchizi aliwahi uza ujiwe za matan 1.5 bil kwa arusha ni mtoto mdogo hizo kina sunda ,mathew,malapa wanapiga sanaa kila mwezi ...huyu ni mpenda sifa mwezi jana kuna muhuni kapiga bil 2 kakataa mavyombo vyombo
Umeomaeeee?
Huyu yupo kulinda kila kitu kilichopendwa na Jiwe.
 
Watu wanamshangaa laizer dangote mbona alikua anakuja mara mbilimbili kuomba favor kwa serikali
 
Bilionea wa mchongo, majenerata yapo mpaka ya 440KVA used Dar Kwa bei chini ya Tshs 100,000,000..

Umeme wa kutosha, kuendeshea shughuli zake na kijiji!

Yeye bilionea anashindwaje kuboresha biashara yake Kwa kujiongezea ufanisi!?
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ununue hivyo pamoja na gharama za mafuta utapata faida kweli? Mkuu ulishawahi kufanya biashara kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana ni bilionea wa mchongo aliye chongwa na mwendakuzimu ili kushawishi wafanyabiashara kukubali kuingia eneo la ukuta wa mirerani....
Hakuna mchongo jamaa alipata mawe na mgodi uko njema sana,kuna jamaa alikua anafadhili huo mgodi anaitwa kaka ndio alichukua % kubwa
 
Bilionea wa mchongo, majenerata yapo mpaka ya 440KVA used Dar Kwa bei chini ya Tshs 100,000,000..

Umeme wa kutosha, kuendeshea shughuli zake na kijiji!

Yeye bilionea anashindwaje kuboresha biashara yake Kwa kujiongezea ufanisi!?
Huyo ni laizer mwingine mgodi uko longido anachimba ruby..kuendesha uchimbaji kwa generetor ni gharama sana
 
Hana hata uhalali wa kuitwa bilionea maana aliandaliwa kama chambo na baada ya hiyo misheni akatupwa
Unamjua Laizer au unamsikia kwenye TV? Huenda tatizo limeanzia hapo, huyu mzee anamiliki shopping mall, juzi tu kanunua ghorofa zima mjini kawavua wahindi, achilia mbali miradi mbalimbali na uwekezaji nyumbani kwake…. Endelea kujifarijji mkuu
 
Endelea kuabudu maneno ya Meko aliyowaachieni nyinyi waramba viatu
 
Kuna mitanzania mijinga sana, et mwekezaji akanunue jenereta!!! Serious!!!?
Ilovo kilombero pale kabruru anazalisha umeme wake wa steam na yupo umbali wa kutembea kutoka Kidatu HEP, GGM Geita wana umeme wao wa magenerator wa uhakika, Highland estate Mbarali Mbeya wanazalisha umeme wao, the list goes on and on

Mwekezaji lazima uwe na backup kama unataka shughuli zako ziende Africa hii.
 
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ununue hivyo pamoja na gharama za mafuta utapata faida kweli? Mkuu ulishawahi kufanya biashara kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wenye migodi na maofisi na majumba ya kupangisha yenye standby generators!
Wote siyo wafanyabiashara, hawajui biashara kama wewe unavyojua??
Sawa mfanyabiashara mzoefu wa kutengeneza faida bila kuwekeza!
 
Back
Top Bottom