Bilionea Laizer aishukia Serikali kutokana na mgao wa umeme

kukatika kwa umeme na CCM ni uji na mgonjwa Mr. Laiser, kuwatenganisha hawa wawili ni vigumu mno.
 
Hata Mimi nashangaa,
Pesa zote alizopiga bado analialia!
 
Kama kweli ni billionaire basi atakuwa mshamba sana huyo
Utalalamikaje na umeme wakati kwa utajiri wako unaweza kuwasha mji mzima?

Huyo inaonekana hata lile Jiwe alipewa tu aseme ni lake

Duuu eti na huyu alifaulu kidato cha nne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahamishie shughuli za uchimbaji Sudan kama vipi. This is Tanzania bwana
 
Endelea kuamini hivyo, yawezekana ikawa ukweli but still haipingiki kuwa jamaa ni billionaire…. Tembea Arusha pengine utawaza tofauti na hizo hearsay.
Hana hata uhalali wa kuitwa bilionea maana aliandaliwa kama chambo na baada ya hiyo misheni akatupwa
 
Angekuwa na hizo bilioni angelalama kukosa umeme wakati generator kama zile anazouza Criss Lukosi zipo kibao??
Hivi huyo Chriss Lukosi ile michango ya rambirambi alirudisha?
 
Mchimbaji gani anategemea Tanesco na anaitwa bilionea!!!

[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwanini tanesco walizuiwa wasitumie majenereta kuzalisha umeme au mafuta, pamoja na kwamba kuna hiyo mitambo ya Genereta ?
 
Huyo ni product ya Jiwe aliingia jf makusudi kuharibu Threads zinazo ikosoa ccm au kumkosoa Jiwe.

Huyo ni made in Burigi kwahiyo ana hasira sana kwa mtu anayeonekana kupinga alichokiamini Jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…