Umeomaeeee?Huyu mchizi aliwahi uza ujiwe za matan 1.5 bil kwa arusha ni mtoto mdogo hizo kina sunda ,mathew,malapa wanapiga sanaa kila mwezi ...huyu ni mpenda sifa mwezi jana kuna muhuni kapiga bil 2 kakataa mavyombo vyombo
Ukiwemo na wewe kwenye mambumbumbucomment za huu uzi zinaomyesha jinsi gani mambumbu wenye smartphone ni wengi Tanzania.
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ununue hivyo pamoja na gharama za mafuta utapata faida kweli? Mkuu ulishawahi kufanya biashara kweliBilionea wa mchongo, majenerata yapo mpaka ya 440KVA used Dar Kwa bei chini ya Tshs 100,000,000..
Umeme wa kutosha, kuendeshea shughuli zake na kijiji!
Yeye bilionea anashindwaje kuboresha biashara yake Kwa kujiongezea ufanisi!?
Gaidi ni Hamza mwana ccm na kada mtiifuTimu gaidi yanatetea mgao wa umeme
Msamehe mkuu, ushamba wa loliondoUmeomaeeee?
Huyu yupo kulinda kila kitu kilichopendwa na Jiwe.
Hakuna mchongo jamaa alipata mawe na mgodi uko njema sana,kuna jamaa alikua anafadhili huo mgodi anaitwa kaka ndio alichukua % kubwaInasemekana ni bilionea wa mchongo aliye chongwa na mwendakuzimu ili kushawishi wafanyabiashara kukubali kuingia eneo la ukuta wa mirerani....
Huyo ni laizer mwingine mgodi uko longido anachimba ruby..kuendesha uchimbaji kwa generetor ni gharama sanaBilionea wa mchongo, majenerata yapo mpaka ya 440KVA used Dar Kwa bei chini ya Tshs 100,000,000..
Umeme wa kutosha, kuendeshea shughuli zake na kijiji!
Yeye bilionea anashindwaje kuboresha biashara yake Kwa kujiongezea ufanisi!?
Mzee wa Rambi rambi anauza majenereta siku hizi?Du; mkuu umeisha wahi kufanya biashara? Tuanzie hapo kwanza.
Unamjua Laizer au unamsikia kwenye TV? Huenda tatizo limeanzia hapo, huyu mzee anamiliki shopping mall, juzi tu kanunua ghorofa zima mjini kawavua wahindi, achilia mbali miradi mbalimbali na uwekezaji nyumbani kwake…. Endelea kujifarijji mkuuHana hata uhalali wa kuitwa bilionea maana aliandaliwa kama chambo na baada ya hiyo misheni akatupwa
Endelea kuabudu maneno ya Meko aliyowaachieni nyinyi waramba viatuUnamjua Laizer au unamsikia kwenye TV? Huenda tatizo limeanzia hapo, huyu mzee anamiliki shopping mall, juzi tu kanunua ghorofa zima mjini kawavua wahindi, achilia mbali miradi mbalimbali na uwekezaji nyumbani kwake…. Endelea kujifarijji mkuu
Pembe la ng’ombe halifichiki.Endelea kuabudu maneno ya Meko aliyowaachieni nyinyi waramba viatu
Ilovo kilombero pale kabruru anazalisha umeme wake wa steam na yupo umbali wa kutembea kutoka Kidatu HEP, GGM Geita wana umeme wao wa magenerator wa uhakika, Highland estate Mbarali Mbeya wanazalisha umeme wao, the list goes on and onKuna mitanzania mijinga sana, et mwekezaji akanunue jenereta!!! Serious!!!?
Acha chuki binafsi kaka St. Francis imetoa lectures wanafundisha Havard ukoAlafu jinga kama hilo unakuta limepata A St Fransis
Hao wenye migodi na maofisi na majumba ya kupangisha yenye standby generators![emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ununue hivyo pamoja na gharama za mafuta utapata faida kweli? Mkuu ulishawahi kufanya biashara kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleea kula vumbi la umasikini huku ukiamini wenye hela wamechongwaInasemekana ni bilionea wa mchongo aliye chongwa na mwendakuzimu ili kushawishi wafanyabiashara kukubali kuingia eneo la ukuta wa mirerani....
Kumbe hana hela?! Nilifikiri anazo ndio maana anaitwa bilionea.Kwamba huamini kama jamaa hana HELA!?