TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
1628780178903.png

Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji la Arusha amefariki dunia.

Mfanyabiashara wa Arusha Mathias Manga, mmiliki wa Gold Crest Mwanza na Arusha, amefariki akiwa Afrika Kusini kwa matibabu

Pia, Soma=> Mfanyabiashara wa madini Mathias Manga, apigwa risasi(2015)
 
Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.

Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.

Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
 
Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua. Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe. Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Pole sana. Hatuijui siku wala saa
 
Back
Top Bottom