TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Apumzike kwa amani
Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe
Amina.
 
Ndio nani huyu bwashee?

RIP
1628788129184.png
 
Billionea wa arusha mmiliki wa mgodi wa tanzanite mererani na hoteli za Gold crest zilizopo mwanza na arusha amefariki Dunia afrika kusini alikoenda kutibiwa. Inasemekana jamaa alikuwa mtu poa sana Enzi za uhai wake wafanyikazi kazi wake Karibu wote ni watu wenye Hali nzuri kutokana na yeye kutokuwabana na kuhimiza kila mmoja afanye maendeleo kama kujenga na usafari hasa hasa wa kwenye mgodi. Rip mwamba.
 
Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.

Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.

Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Mungu ametenda wakati ameuawa kwa mikono ya waovu?

Pole sana kwa msiba wa nduguyo.
 
Back
Top Bottom