Da imeniuma balaabilionea wa tanzanite
Imeniuma sanaDah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua. Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe. Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Kuanzia juzi walikuwa wanasema amefariki lakin naona leo maneno yamezidi....dah tuvae barakoa kwakweli
Lazima unatatizo fulani mkuu.Arusha na Kilimanjaro kunani wazee...!! Maana mnamfata mwendazake Kwa speed ya 5G mpaka sio poa
Hivi gold crest ni ile ipo mitaa ilipo kibo palace au ile ipo arusha moshi road??ambayo ipo kama imetelekezwa??majina yananichanganyaDah Mathias Manga alkua mtu poa sana This is sad news...mmiliki wa Gold Crest. Dah.RIP
Ndio mipango ya Mwenyezi Mungu,Tusihofu wala kuhuzunikaImeniuma sana
Pole sana. Hatuijui siku wala saaDah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua. Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe. Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Huyu ni tajiri wa Tanzanite na mmiliki wa hoteli chain za, Golden Crest zilizopo Arusha na Mwanza.Ndio nani huyu bwashee?
RIP
Pole sana. Hatuijui siku wala saa