OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Dah nlipanga nimkope marehemu million 5 dah kifo hichi dah!! Kimeniaribia mipango yangu.
R.I.P aise..
R.I.P aise..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unamiliki nini mkuu??Huyo alikuwa bilionea au milionea tu. Sifa za kubumba hizo. Mabilionea huwajui ? Wapo kama Kina kitano wanaomiliki makumi ya meli hao ndio matajiri. Mtu amiliki kihotel tena jengo la kukodi halafu awe bilionea ? Pole sana.
Zaidi ya hivyo vyakeWewe unamiliki nini mkuu??
Kwanza haitwi Kitano anaitwa Kitana,Watu wa Kanda ya ziwa mnajua tajiri Ni yule tu anaemiliki meli za kubeba mizigo za tani 100 tu nje ya hapo hakuna tajiri 😄😄😄.Siku hizi ameacha kuwakata wavuvi mikono(carwash style) Kule visiwani?Huyo alikuwa bilionea au milionea tu. Sifa za kubumba hizo. Mabilionea huwajui ? Wapo kama Kina kitano wanaomiliki makumi ya meli hao ndio matajiri. Mtu amiliki kihotel tena jengo la kukodi halafu awe bilionea ? Pole sana.
Mbupu 2 itakua mkuu.Wewe unamiliki nini mkuu??
Kamtu akamiliki hata baiskeli kanakuja leta porojo apa..Mbupu 2 itakua mkuu.
Waswahili tumepewa utajiri wa kupepeta mdomo mzee.Kamtu akamiliki hata baiskeli kanakuja leta porojo apa..
Upo kijiji cha wapi moshi uru, kibosho, au wapi?Mkuu vijiji vya moshi watu wamebakia wachache sana, nyumba nyingi kuliko watu, na nyingi zipo tupu
Wewe ni mwanafunzi wa research mwaka wa mwisho itakuwa unataka kufanya research ya population 😅😅😅 raw data.Poleni sana kwa msiba, Mola awape pumizko lenye mwanga na Amani ya milele wote waliotangulia mbele ya haki. Ameen.
Tunaomba basi muwe mnatupia na picha!
Huu ni ulimwengu wa visual digital which means ni rahisi sana suluhisho kupatikana endapo tangible evidences zinakuwepo!
Tupieni visuals (be it vids or dig-pics) za nyumba nyingi tupu na uchache wa watu, pls.
Na kila msiba mnaohudhuria unaotokana na cv-19.
...
😅😅😅 Kwanini mko hivi nyie waja kila kitu kafara.Kafara limekataa!
Sasa kama mtu alishauza mawe zaidi ya B 15
Atakosaje kuwa bilionea
Au washazoea wale wanajianika mtandaoni 😂😂
Ova
Huyu alikuwa wapi?RIP , msalimie bilionea mwenzio Arobogast Asenga
Hivi TRIPLE A huwa ni nani anamiliki?
Sawaya
Wale kina saba mbaya au dizaini hizo huwa hawafi..DUNIA INAUMIZA SANA
MTU KAMA HUYU AMEKYWA SAADA SANA KWA WATU WA ARUSHA ANAONDOKA YANABAKI MASHENZI DUNIAN DOH
RIP BR RAHA YA MILELE AKUPEE EE BWANA
Nimekusoma muda mrefu sana don't be jeulous, acha chuki kijana na watu wa kaskaziniHuyo alikuwa bilionea au milionea tu. Sifa za kubumba hizo. Mabilionea huwajui ? Wapo kama Kina kitano wanaomiliki makumi ya meli hao ndio matajiri. Mtu amiliki kihotel tena jengo la kukodi halafu awe bilionea ? Pole sana.
😅😅😅 Ni nani bossHii ndio SHIDA ya machalii wa ARA! Eti SAWAYA 😂😂!! Wakati wanaume tumekufungia vyuma vitatu hapo - tuna KILIMANJARO EXPRESS, ARUSHA EXPRESS pamoja na MGHAMBA INTERTRADE LTD.
Utakuwa umerogwa wewe sio bureArusha na Kilimanjaro kunani wazee...!! Maana mnamfata mwendazake Kwa speed ya 5G mpaka sio poa
Waelimisheni hawa watu maana hawafahamu chochote! Kuna watu walikuja na BAIBUI tu! KANZU pamoja na MAKOBAZI kuja kufanya biashara za watu kipindi cha UJAMAA na UHUJUMU UCHUMI.Utakuwa umerogwa wewe sio bure
Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.