TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Mkuu acha ubishi na ujuaji. Jengo ilipo Gold crest halikuwepo hio zamani unayosema na ilipojengwa tu akapangishwa Bwana Manga(hivyo yeye ndo wa kwanza kulitumia jengo hilo)

Natumaini hutasema gold crest ya zamani kuizidi Mwanza hotel
Hajui chochote huyo anaropoka tu,marehemu analipa 90m kwa mwezi plus kila kitu hapo ameweka yeye plus kujenga hiyo club na roof bar
 
Hajui chochote huyo anaropoka tu,marehemu analipa 90m kwa mwezi plus kila kitu hapo ameweka yeye plus kujenga hiyo club na roof bar
Ila nyie MACHALII WA ARUSHA NA KILIMANJARO hilo ndio tatizo lenu! Thamani ya FEDHA haijashuka kiasi hicho mpaka akodishe ROCK BOTTOM na GOLD CREST kwa kiasi cha shilingi milioni tisini [ 90,000,000 ] kwa mwezi.

Ina maana kwa mwaka mmoja alikuwa analipa kiasi cha FEDHA zisizopungua BILIONI MOJA? Hakuna kitu kama hicho!

Thamani ya FEDHA haipo hivyo ukilinganisha na gharama za upangaji kwa maeneo ya TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Sehemu yenye gharama kubwa zaidi za upangaji kwa maeneo ya TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ni ILALA.

ILALA, hii ni METROPOLITAN na gharama yake ya upangaji ni shilingi milioni moja hadi milioni mbili kwa mita moja za mraba.

Na gharama inaweza kupanda kutokana na jengo lenyewe jinsi lilivyo, sio lazima gharama iwe hivyo, inaweza kupanda lakini gharama ya chini ni shilingi milioni moja kwa mita moja za mraba.

Na ukiondoa ILALA, sehemu nyingine inayofuatia kwa gharama kubwa za upangaji ni KINONDONI, ILEMELA na ARUSHA MJINI. Sehemu nyingine ni sehemu zenye gharama za kawaida tu.

Kwahiyo, milioni tisini [ 90,000,000 ] kwa mwezi ni stori za vijiweni tu na wala hazina ukweli wowote.
 
Pole sana Mkuu.
 
Tafuta msukuma wa kulipa hiyo pesa labda wajikusanye wauza dhahabu wote wa geita,huo ni mbuyu umeanguka exim wanailipa kampuni 21bn mda wowote mwaka huu....karibu block D ujenge maisha sio kuchimba hiyo migodi yenu huko usukunani kama mashimo ya panya buku
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha tukesheni tukisali
 
Hivi una habari kuwa hata ile BREAK - POINT FAST FOOD ya pale KINONDONI nimeshaibeba! Sasa hivi nimewaachia WAPANGAJI wanitunzie, huku wakilipa KODI.
 
Ndio alikuta kma stoo liko wazi ndio akatengeneza,kuanzia tiles na kila kitu vyote yeye kaweka
Kipindi inazinduliwa Nilikua pale,kwa kweli kipindi hicho ilikua ndio club kubwa na ya kisasa kabisa,ikifuatiwa Lips (ilishafungwa) iko Isamilo lodge.
 


Eeh! Sasa hivi nimekupakia LAND CRUISER-79 SERIES na zipo nne [ 4 ], zimetulia tu kule KIWANDANI [ FRESHO ] zinanisubiri.

Siunajua tena nafanya fanya mazoezi ya kuweka mwili safi nini!! PIZZA πŸ• na BAGA πŸ” zimenichosha hmm! Siunajua tena! Sasa hivi MESSI nimerudi uwanjani, lakini sio kama zamani, You Know 😁😁

Ila hizo LAND CRUISER-79 SERIES inabidi nizitawanyishe, maana zimekuwa nyingi sana mpaka zinakera.

Inabidi LAND CRUISER-79 SERIES moja itaenda kwenye KIWANDA cha KIOO INDUSTRY kule CHANG'OMBE - DAR ES SALAAM.

Hizo tatu zilizobaki, moja itaenda kwenye KIWANDA cha IVORY kule IRINGA na nyingine itaenda kwenye KIWANDA cha VESTLINE PLASTIC & PHARMACEUTICAL LTD kule TANGA kwa WAGOSI WA NDIMA.
 
We jamaa unaongea kama mtoto wa vidudu,hakuna tajiri kama kweli unavojinasibu ww ni fogo ambae angeandika upupu wa kipuuzi kama huu,eti pizza sjui land cruiser .acha utoto we unaonekana kapurwa tu huna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…