Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui chochote huyo anaropoka tu,marehemu analipa 90m kwa mwezi plus kila kitu hapo ameweka yeye plus kujenga hiyo club na roof barMkuu acha ubishi na ujuaji. Jengo ilipo Gold crest halikuwepo hio zamani unayosema na ilipojengwa tu akapangishwa Bwana Manga(hivyo yeye ndo wa kwanza kulitumia jengo hilo)
Natumaini hutasema gold crest ya zamani kuizidi Mwanza hotel
Bilionea wa kichaga ernest masaweHivi ni nani anayemiliki kampuni ya KILIMANJARO MINING? Nauliza tu! Kuuliza sio ujinga!
Club ndio Ile rock bottom mkuu?Hajui chochote huyo anaropoka tu,marehemu analipa 90m kwa mwezi plus kila kitu hapo ameweka yeye plus kujenga hiyo club na roof bar
Mmiliki wa Akiba commercial bank,Swala gas,E&Y etcBilionea wa kichaga ernest masawe
Ila nyie MACHALII WA ARUSHA NA KILIMANJARO hilo ndio tatizo lenu! Thamani ya FEDHA haijashuka kiasi hicho mpaka akodishe ROCK BOTTOM na GOLD CREST kwa kiasi cha shilingi milioni tisini [ 90,000,000 ] kwa mwezi.Hajui chochote huyo anaropoka tu,marehemu analipa 90m kwa mwezi plus kila kitu hapo ameweka yeye plus kujenga hiyo club na roof bar
Pole sana Mkuu.Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.
Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.
Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Bado TANZANIA 🇹🇿 kuna tatizo la kutokuwa na taarifa sahihi. Na sijui hii inatokana na nini, lakini WATANZANIA tunatakiwa tubadilike. POROJO hazitasaidia kitu!Bilionea wa kichaga ernest masawe
Ndio alikuta kma stoo liko wazi ndio akatengeneza,kuanzia tiles na kila kitu vyote yeye kawekaClub ndio Ile rock bottom mkuu?
Tafuta msukuma wa kulipa hiyo pesa labda wajikusanye wauza dhahabu wote wa geita,huo ni mbuyu umeanguka exim wanailipa kampuni 21bn mda wowote mwaka huu....karibu block D ujenge maisha sio kuchimba hiyo migodi yenu huko usukunani kama mashimo ya panya bukuIla nyie MACHALII WA ARUSHA NA KILIMANJARO hilo ndio tatizo lenu! Thamani ya FEDHA haijashuka kiasi hicho mpaka akodishe ROCK BOTTOM na GOLD CREST kwa kiasi cha shilingi milioni tisini [ 90,000,000 ] kwa mwezi.
Ina maana kwa mwaka mmoja alikuwa analipa kiasi cha FEDHA zisizopungua BILIONI MOJA? Hakuna kitu kama hicho!
Thamani ya FEDHA haipo hivyo ukilinganisha na gharama za upangaji kwa maeneo ya TANZANIA [emoji1241].
Sehemu yenye gharama kubwa zaidi za upangaji kwa maeneo ya TANZANIA [emoji1241] ni ILALA.
ILALA, hii ni METROPOLITAN na gharama yake ya upangaji ni shilingi milioni moja hadi milioni mbili kwa mita moja za mraba.
Na gharama inaweza kupanda kutokana na jengo lenyewe jinsi lilivyo, sio lazima gharama iwe hivyo, inaweza kupanda lakini gharama ya chini ni shilingi milioni moja kwa mita moja za mraba.
Na ukiondoa ILALA, sehemu nyingine inayofuatia kwa gharama kubwa za upangaji ni KINONDONI, ILEMELA na ARUSHA MJINI. Sehemu nyingine ni sehemu zenye gharama za kawaida tu.
Kwahiyo, milioni tisini [ 90,000,000 ] kwa mwezi ni stori za vijiweni tu na wala hazina ukweli wowote.
Inaonekana wewe hujawahi fanya biashara hujui maana ya mkopoArusha kila anayeendesha Vx ni bilionea. Hata kama ana mikopo
Nyingine ipo mwanza
Pole sana ndgu yanguMwaka jana mama alifariki, mwaka huu June Baba kafuata Na leo hii Kaka Matias kaenda. Mungu ni mwema.
Hivi una habari kuwa hata ile BREAK - POINT FAST FOOD ya pale KINONDONI nimeshaibeba! Sasa hivi nimewaachia WAPANGAJI wanitunzie, huku wakilipa KODI.Tafuta msukuma wa kulipa hiyo pesa labda wajikusanye wauza dhahabu wote wa geita,huo ni mbuyu umeanguka exim wanailipa kampuni 21bn mda wowote mwaka huu....karibu block D ujenge maisha sio kuchimba hiyo migodi yenu huko usukunani kama mashimo ya panya buku
Kipindi inazinduliwa Nilikua pale,kwa kweli kipindi hicho ilikua ndio club kubwa na ya kisasa kabisa,ikifuatiwa Lips (ilishafungwa) iko Isamilo lodge.Ndio alikuta kma stoo liko wazi ndio akatengeneza,kuanzia tiles na kila kitu vyote yeye kaweka
Nothing phases me kwa wafanya biashara ya madini na mabasi/magari.....tumeshuhudia vituko vyao vingi.😅😅😅 Kwanini mko hivi nyie waja kila kitu kafara.
Tafuta msukuma wa kulipa hiyo pesa labda wajikusanye wauza dhahabu wote wa geita,huo ni mbuyu umeanguka exim wanailipa kampuni 21bn mda wowote mwaka huu....karibu block D ujenge maisha sio kuchimba hiyo migodi yenu huko usukunani kama mashimo ya panya buku
We jamaa unaongea kama mtoto wa vidudu,hakuna tajiri kama kweli unavojinasibu ww ni fogo ambae angeandika upupu wa kipuuzi kama huu,eti pizza sjui land cruiser .acha utoto we unaonekana kapurwa tu huna loloteEeh! Sasa hivi nimekupakia LAND CRUISER-79 SERIES na zipo nne [ 4 ], zimetulia tu kule KIWANDANI [ FRESHO ] zinanisubiri.
Siunajua tena nafanya fanya mazoezi ya kuweka mwili safi nini!! PIZZA [emoji487] na BAGA [emoji488] zimenichosha hmm! Siunajua tena! Sasa hivi MESSI nimerudi uwanjani, lakini sio kama zamani, You Know [emoji16][emoji16]
Ila hizo LAND CRUISER-79 SERIES inabidi nizitawanyishe, maana zimekuwa nyingi sana mpaka zinakera.
Inabidi LAND CRUISER-79 SERIES moja itaenda kwenye KIWANDA cha KIOO INDUSTRY kule CHANG'OMBE - DAR ES SALAAM.
Hizo tatu zilizobaki, moja itaenda kwenye KIWANDA cha IVORY kule IRINGA na nyingine itaenda kwenye KIWANDA cha VESTLINE PLASTIC & PHARMACEUTICAL LTD kule TANGA kwa WAGOSI WA NDIMA.