TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Apumzike kwa amani
Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe
Amina.
 
Billionea wa arusha mmiliki wa mgodi wa tanzanite mererani na hoteli za Gold crest zilizopo mwanza na arusha amefariki Dunia afrika kusini alikoenda kutibiwa. Inasemekana jamaa alikuwa mtu poa sana Enzi za uhai wake wafanyikazi kazi wake Karibu wote ni watu wenye Hali nzuri kutokana na yeye kutokuwabana na kuhimiza kila mmoja afanye maendeleo kama kujenga na usafari hasa hasa wa kwenye mgodi. Rip mwamba.
 
Mungu ametenda wakati ameuawa kwa mikono ya waovu?

Pole sana kwa msiba wa nduguyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…