TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

We jamaa unaongea kama mtoto wa vidudu,hakuna tajiri kama kweli unavojinasibu ww ni fogo ambae angeandika upupu wa kipuuzi kama huu,eti pizza sjui land cruiser .acha utoto we unaonekana kapurwa tu huna lolote

b72c738f6ed493ce4b8726c925e8a397.png

5a74f769b959fa5ef94cba0c81af6bad.png

2adfc13699b9a9b7f76bb50a95f41997.png

Hii WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita ni MIDDLE FINGER 🖕🏼​
 
Acha utoto ,jiheshimu asee maana inaonekana una stress na maisha ww.
STRESS ZA MAISHA unazo wewe hapo! Nitafute nikupe AJIRA YA KUDUMU kwenye KIWANDA CHA SUKARI CHA MTIBWA kilichopo TULIANI - MOROGORO.

Mimi ndio MANDELA CHARLES, jina linalosoma kwenye leseni ya timu ya MTIBWA SUGAR FC. Kwahiyo usiulize kuhusu KIWANDA CHA SUKARI.

Mimi nipo SHINYANGA sasa hivi! Na huu ni muda wa mazoezi, ngoja niwahi pale JOSHONI nikakimbie kimbie. Siunajua tena 😁😁
 
STRESS ZA MAISHA nizitoe wapi! Nitafute nikupe AJIRA YA KUDUMU kwenye KIWANDA CHA SUKARI CHA MTIBWA kilichopo TULIANI - MOROGORO.

Mimi ndio MANDELA CHARLES, jina linalosoma kwenye leseni ya timu ya MTIBWA SUGAR FC. Kwahiyo usiulize kuhusu KIWANDA CHA SUKARI.

Mimi nipo SHINYANGA sasa hivi! Na huu ni muda wa mazoezi, ngoja niwahi pale JOSHONI nikakimbie kimbie. Siunajua tena [emoji16][emoji16]
Umpe ajira nani ww bwege!? Umeskia nataka ajira!? tushajiajiri kitambo njoo kwenye tanzanite acha ushamba na kujisifu upuuzi.
 
Umpe ajira nani ww bwege!? Umeskia nataka ajira!? tushajiajiri kitambo njoo kwenye tanzanite acha ushamba na kujisifu upuuzi.
Hii WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita ni MIDDLE FINGER 🖕🏼 na WASWAHILI 🇹🇿 wanaita ni KIDOLE CHA KATI 🖕🏼.
 
Ndio huwa kuna MATAMBIKO mengi sana! Na wengine huwa wanatoa hadi WATOTO wao wa kuzaa wenyewe.
Kwa hio mzee wa SHIRECU hata elimu ya Mining hua haisaidii Kama Uchawi kwny uchimbaji wa madini?au niukosefu wa elimu ya madini unawafanya wafanye hivyo?Vipi Ile migodi Kama ya Buzwagi nao hua wanafanya mambo ya Uchawi Kama waswahili?
 
Kwa hio mzee wa SHIRECU hata elimu ya Mining hua haisaidii Kama Uchawi kwny uchimbaji wa madini?
Haya mambo ya MATAMBIKO huwa wanafanya watu ambao hawana ELIMU na kitu fulani.
au niukosefu wa elimu ya madini unawafanya wafanye hivyo?
Kwenye madini ya vito ndio huwa wanafanya mambo ya MATAMBIKO lakini kwenye dhahabu sio sana. Mimi binafsi huwa sishiriki kwenye hayo mambo.
Vipi Ile migodi Kama ya Buzwagi nao hua wanafanya mambo ya Uchawi Kama waswahili?
Hapana! Buzwagi huwa wanafanya shughuli zao kwa teknolojia. Mimi binafsi nilishaenda kwenye shughuli za uchimbaji mdogo mdogo na nilichokishuhudia ni watu wengi wanafanya kazi kwa mazoea, huwa hakuna taaluma kule. Ndio maana watu wengine huwa wanapata hasara kwa kutokujua.
 
Haya mambo ya MATAMBIKO huwa wanafanya watu ambao hawana ELIMU na kitu fulani.

Kwenye madini ya vito ndio huwa wanafanya mambo ya MATAMBIKO lakini kwenye dhahabu sio sana. Mimi binafsi huwa sishiriki kwenye hayo mambo.

Hapana! Buzwagi wanafanya teknolojia.
I appreciate mzee.
 
Back
Top Bottom