Bilionea mwingine kutoka jamii ya Kimasai aibuka nchini, ni mchimbaji wa Madini ya Rubi

Bilionea mwingine kutoka jamii ya Kimasai aibuka nchini, ni mchimbaji wa Madini ya Rubi

Kinachonichekesha mimi tatizo kuu na sugu la wachimbaji ni maji, mpaka leo hawana maji halafu mtu anaishiukuru awamu ya tano, hizi ni siasa nyepesi mno.

Anyway na mimi sasa naitwa Matola Laizer, nadhani hili ndio jina la pesa sasa hivi.

Sasa wale wenzangu wanaozurura mjini nausa dawa saa ngufu ya kiume kiboko ya Paulina sijui ni wamasai wa wapi?
 
"madini yenye thamani" alafu tani tano(5)=1.7b,kwa hali hii acha amshukuru huyohuyo aliyemshukuru.
Mkuu acha kukalili hayo madini sio ruby pure yako mixer au ndo walewale note ya mia mbili mmeambiwa inauzwa million mia moja ukiuliza wapi utaambiwa dar nioneshe mteja hamna
 
Kama utani vile yandahh ,alafu utaambiwa uyo laizer ni mchimbaji mdogo,sasa ndugu zangu cjui wanafanya nn huko machimboni mbona wao hawapatiii kama kna laizer miaka yote wanarudi na chupa za bia tu nyumbani daaah
 
Mungu kaficha siri nyingi wakati wengine wanakimbia vijijini kuwa kumejaa umaskini wakiwemo wachungaji na mapadri wakitarajia kuwa watakuwa mabilionea mijini Mungu anaibua mabilionea vijijini
 
Back
Top Bottom