Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

Wewe kilichokuumiza ni hiyo "Muislam" tu?

Hiyo ndiyo ukisikia "Islamophobia".

Jina tu Uislam linawatia uoga na taharuki. Hakika Uislam ni mwema sana.

Mashetani utayajuwa tu.
Halitutii uoga ni jina la YESU pekee
 
Halitutii uoga ni jina la YESU pekee
4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
 
Back
Top Bottom