Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

Ulaya huko yananunuliwa kama njugu na kufanywa misikiti.

Waliwaletea Ukristo washajielewa kuwa waliwaletea uongo tu.
Nakushauri usikashifu imani za watu, utakuja kutukanwa humu wewe na mtume wako hadi utatafuta pa kuficha kichwa chako usipate, shauri yako.
 
Nakushauri usikashifu imani za watu, utakuja kutukanwa humu wewe na mtume wako hadi utatafuta pa kuficha kichwa chako usipate, shauri yako.
Sasa unachokipinga ni kuwa makanisa Ulaya hayafanywi ma night club au hayanunuliwi na Waislam na kufanywa mikiti?

Wewe ungependelea lipi kati ya hayo?

Kuna kashfa gani hapo? Hebu tufahamishe.
 
Sasa unachokipinga ni kuwa makanisa Ulaya hayafanywi ma night club au hayanunuliwi na Waislam na kufanywa mikiti?

Wewe ungependelea lipi kati ya hayo?

Kuna kashfa gani hapo? Hebu tufahamishe.
Usiseme dini zingine kwamba ni uongo wakati hata huyo Mungu mwenyewe hajasema dini fulani ndiyo nzuri.
 
Wajinga wa dini wamebaki Waafrica tu, watu wenye akili walishashtuka siku nyingi dini ni project za watu.

Kuna taasisi za kiislamu kazi yake ni Kujenga misikiti na kuchimba visima tu vya kuchambia, hawana muda na maswali ya afya wala elimu.
Na kuchamba ni sehemu ya ibada
 
Vyuo na vituo vya utafiti vilivyokuwa Spain na Baghdad vilijengwa na macaliphates in Islamic Golden Age vilikuwa chini ya usimamizi na ufadhili wao

Na hao wote wa kina al battan, Al Biruni ,Abuul Fath Al-Khazni walikuwa religious haswa tofauti na wa western kwanza wengi wao ni wakanaji mungu lakini hatusemi kuwa dini ndio imefanya hayo kwamaana yametoka kwenye Quran (sijui kama ulimaanisha hivi) ,lakini tunavyotaja Jamii ambazo zimechangia maendeleo ya kielimu ya Dunia basi waislamu ni miongon mwa Jamii iliyochangia pakubwa
Sasa hao race yao ni uislamu au Uarabu, uhajemi na uhindi?

Hivi nyinyi watu mna akili timamu kweli?

Kwahiyo Mandela angekuwa muislamu mngesema waislamu ndio wamepambana kupata South Africa huru?

You are a Fool.
 
Hiyo ni kazi ya adui wa Gabriel!
[emoji116][emoji116]
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Ndiyo maana tunasema hizo ni aya za shetani.
 
Ila ndugu zetu wa upande wa pili wanakuwaga na chuki, Zanzibar tu hapo ukitaka kujenga kanisa utakutana na vizuizi kibao.

Ila wao wanaitaka haki ya kusambaza dini yao pahali popote wanapotaka.
 
Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.

Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.

Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.

Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
Haya tuambie hiyo ya kuoana wanaume Kwa wanaume,wanawake Kwa wanawake inayosimamiwa Kwa nguvu zote za wafuasi wa Yesu imeandikwa sehemu gani kwenye biblia?
 
Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.

Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.

Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.

Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
Upendo wa kufikia mwanaume kuolewa HAPANA aisee!
 
Tatizo nyie wakristo mnawachukia waislamu bure tu bila kujua dini yao kwa hakika. Unasikiliza media ambazo zinamilikwa na west ambazo agenda zao kubwa ni kuumaliza uislam na mengine mnaambiwa na viongozi wenu huko kwenye nyumba za ibada na nyinyi mnaamini tu bila kufanya utafiti.

Hebu chukua Quran usome mwenyewe uone kama hayo yanayosemwa ni kweli? utajikuta unajilaumu kwa kufuata mkumbo wa kuwachukia waislam bure tu. Nawasihi tumieni akili zenu ndugu zetu msifate mkumbo. Do your own research
 
Ni jambo jema sana kuwafikishia watu imani yako au habari njema. Ndiyo lengo la dini kuwafikia na kuwapa faraja wenye uhitaji.
ila, Itakapotokea Imam wa hapo akaja kuwa shoga au Mwanamke na pembezoni mwa Msikiti pakazungukwa na groceries wasije wakaanza kulalamika kama tulivyoona Sweden.
Unapopeleka Imani au utamaduni/mfumo wa maisha yako kwa watu wengine basi sharti uwe tayari kwa lolote ikiwemo kuvifanyia ukarabati ili waweze kuvikubali na waweze kuendana navyo.

Kama wewe ni mwafrika, ukizaa na mwarabu, mzungu, mchina su asili tofauti zinapochangamana biologically tarajia Chotara.
kwa hivyo huyu yesu ambae sio issa ndio aliekuja kuhalalisha ndoa za mashoga makanisani ama na wewe unaolewa lini.
 
Ndiyo maana tunasema hizo ni aya za shetani.
Aya za sheti
[emoji116][emoji116]
مَا كَذَبَ ٱلْفُؤَادُ مَا رَأَىٰٓ ﴿١١﴾
Moyo haukusema uwongo uliyo yaona.

أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?

وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.

إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.

مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.

أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?
H
وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma
 
Kidogo kidogo, kama si leo kesho. Jinsi Uislam unavyokuwa Uingereza, sitoshangaa miaka michache ijayo kukawa na serikali yote ya Kiislam.
Halafu ikishakuwa?

Kuna serikali ya Kiislam Iran na Afghanistan. Mbona hamukimbilii kuishi huko badala yake mnapakimbia?
 
Back
Top Bottom