FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ulaya huko yananunuliwa kama njugu na kufanywa misikiti.Hapana nyie ndo mnaumwa ukristomophibia. Ushawishi kusikia Sisi tunatajana mkristo kafanya kile na kile.
Sisi siyo watu wa Show off. Ndo maana Hata makanisa yetu tumeyaficha kabisa. Ukiwa na Shida ulitafute. Na Hakuna anayekualika uje kusali.
Kanisa moja Takatifu la Mitume
Waliwaletea Ukristo washajielewa kuwa waliwaletea uongo tu.