Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

Waliopo gizani wale wajinga wenzako Najihadist wenzako wanaoamini kuna pepo yenye moto ya pombe na mabikira 72 ukiuwa watu.

Kama mnapenda pombe mje tunywe, sisi wenzenu tunazinywa hapahapa duniani na tunakula nguruwe.
Hebu nipe hizo aya, nnauhakika umedanganywa ukadanyika, kwa sababu hata maandiko yako humu yanakuonesha ni mtu wa kushikwa akili kijinga.

Usibwabwaje tu na kuhororoja bila mpango, endana na jina la PhD uliypojipachika.
 
Hata mimi ntakuchoma, hufai kuishi duniani. Hao waliowaletea makanisa wanayageuza kuwa night clubs huko Ulaya. Waislam wanajitahidi kuyaokowa wayarudishe kuwa nyumba za ibada, halafu wewe uanze kuyajenga tena huku kwetu? Si wazimu huo?
Upumbavu ni nini? Upumbavu ni kumpangia mmiliki halali wa jengo mwenye tittle deed nini cha kufanya na jengo lake analomiki kihalali.

Kanisa siyo majengo.
 
Waliopo gizani ni wale wajinga wenzako majihadist wenzako wanaoamini kuna pepo yenye mito ya pombe na mabikira 72 ukiuwa watu.

Kama mnapenda pombe mje tunywe, sisi wenzenu tunazinywa hapahapa duniani na tunakula nguruwe.
kama nilivyokueleza juu huko, umejazwa ujinga na ukakujaa. Anza kuisoma Qur'an uuelewe Uislam, usijazwe ujinga.
 
Kamtafute Avecena kwenye sites unazozijuwa wewe uje kusema ni nani huyo? Na kawacha athari ipi duniani hapa?

Ukimaliza huyom kamsome Mama wa Kiafrika Fatma Al Fikhri wa Fez Morocco, halafu uje kusema ni nani huyo na kaacha athari ipi duniani hapa?

Nakushangaa mpaka leo hujaiona nuru ya Uislam.
What light, Islam belongs to the Catholics who are the founders of this religion, Faiza Fox and her colleagues know nothing.
 
Sweden uliona nini?

Wewe mtu kishapanunuwa toka 2005, kesi zimeenda zimerudi mpaka kashinda.

Ungeelewa tu kuwa sala huzuwia maasi unsingebwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Una uwezo wa kuelewa mkubwa sana ila kwa makusudi umeamua kuufinya kutoka ukubwa wa uwanja wa mpira hadi kubakiza upana wa kigania cha mtoto mchanga.
Usipende kila wakati kusoma na kujibu vitu ukiwa umeegama.
 
Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London

Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero

Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa.

Iakini upango huo umepata Wakosoaji kadhaa ndani na nje ya uislamu wamehoji ikiwa inafaa kujengwa msikiti katika eneo lililojaa baa za kuwenyea pombe, night clubs, na kumbi za mashoga ambazo zote haziendani na Uislamu na zinachukuliwa kama ni dhambi.

Bw Aziz mzaliwa wa Malawi, ambaye anamiliki utajili wa zaidi ya Pauni 2 bilioni na alinunua Trocadero kwa zaidi ya pauni milioni 220 mwaka 2005, anaanzisha msikiti huo kupitia ufadhiri wake wa Aziz Foundation.

Aziz Foundation ilisema msikiti huo utahudumia Waislamu wanaofanya kazi katika eneo hilo, pamoja na wale wanaotembelea London kama watalii

Msikiti huo takuwa na uwezo wa kubeba watu 390

Mapendekezo ya hapo awali yalikuwa kujenga msikiti wenye uwezo wa kubeba watu 1,000 lakini uliondolewa mnamo 2020 kufuatia upinzani kutoka kwa wakazi wa eneo hilo lakini Pia na vikundi vya Watu wenye mrengo wa kulia.wa
Wapo desperate
 
Pole sana, upo mbali sana na dunia. Ma shaa Allah, siku hizi moaka makanisa ya London wanakaribisha Waislam kuadhini: Jionee, upatefaraja na utulivu wa moyo kidogo:

So soothing.

Ndio hapo ujifunze kwamba christians hawajali kuwaachia waisilamu wapige adhana....lakini ninyi huko uarabuni na nchi zenye misimamo mikali wakristo wanakiona cha mtema kuni.... wakristo wangekua aggressive kama waislamu dunia isingekalika......hivo bibi jifunze hilo
 
Hata mimi ntakuchoma, hufai kuishi duniani. Hao waliowaletea makanisa wanayageuza kuwa night clubs huko Ulaya. Waislam wanajitahidi kuyaokowa wayarudishe kuwa nyumba za ibada, halafu wewe uanze kuyajenga tena huku kwetu? Si wazimu huo?
Manina..unaona ulivo na akili za kijinga ...kwahiyo makanisa yakigeuzwa night clubs huko ulaya ndio ina justify wewe kuchoma kanisa jipya likijengwa Zanzibar..??
 
Bi Faizaaaa

Endelea kuwaelimisha vijana mim nipo nyuma yako kipenz changu
 
Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.

Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.

Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.

Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
Huna akili
 
Usilete vichekesho, kuna anaeijuwa elimu zaidi ya Muislam? Kuna anaeijuwa afya zaidi ya Muislam?

Hayo maneno "elimu" na "afya" bila kuletewa na Waislam usingeyajuwa leo hii. Kumbuka hilo.

Vipi wewe ukienda chooni huchambi?

Hivi kumbe haujui waislamu ndio walionzisha universities (sio mdrasa ni chuo kikuu) na ndio tulikuwa mbele kielimu kwenye medicine tulikuwa na Abu Ali Ib NNn Sina knowledge yake bado unaendelea kutumika since the invention, kwenye physics wakina Al Biruni na Abuul Fath Al-Khazni tayari walishakwisha ichambua Density na kinetic energy kwenye vitabu vyao,

Hata uvumbuzi wa LAWS OF MOTION wa Isaac Newton sio kitu kipya kwenye ulimwengu WA kiislamu, LAWS zote tatu zlikuwepo kwenye vitabu vya uislamu Kabla yake ,Hata ugunduzi wa awali WA ndege ulianza Kwa kutengeneza flying machine Abbas Ibn Firnas ndio anayetambulika kama father of flying machine , lakin credit akaja kupewa Da Vinci

Bado sijagusa kwenye elimu ya anga we explored since since 7 century, mathematics kuna kina algebra, chemistry waislamu ndio wagunduzi wa vifaa upasuaji , optical pamoja na Idea ya ugunduzi wa camera ilianzia Kwa al-Haytham etc etc....etc

Wazungu ndio waliokuwa wanenda Spain na Baghdad kuchukua elimu kwa uislamu Kabla ya wacrusade na Mongolian kutufanyia uharibifu ,

Hata hayo majoho wanayoyavaa wakati WA kuhitimu chuo yametokana na mavazi ya kiarabu 'Robe'
 
Ili tuelewane nikubaliane na yote haya uliyoandika hapa.

Sasa swali langu waliofanya haya ni dini au ni watu individual?

Mbona Da Vinci hujamtambulisha kwa dini yake wala Newton?

Tukiwaita wajinga mtasema tunawatukana sasa tuwaite jina gani, matutusa?
 
Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.

Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.

Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.

Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
Hiyo ni kazi ya adui wa Gabriel!
[emoji116][emoji116]
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
 
Unazungumzia maadili gani? ya
Mudy kumnyonya mwanaume mwenzake ulimi au ya mtume kuchumbia kitoto cha miaka sita.
Hayo hayo yaliyofanya padri wenu mpendwa wa kijitonyama akasifia hadi kanisa likachukia, ukweli utabaki kuwa ukweli tu dini sio siasa viongozi wenu wa dini ukweli wanaujua
 
Aliyeileta hii mada kafanya jambo la maana sana.

Wazi, kweupe kama saa sita mchana siku ya jua kali, kinaga ubaga, wanaolipinga hili jambo jema ndiyo hao hao wanaopinga Bandari kupewa kampuni ya Waarabu DP World kuiendesha.

Hapo kuna cha kujiuliza sababu zao za kupinga? Mimi naona hakuna isipokuwa ni "ignorance" na Phobia" tu.
 
Back
Top Bottom